Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nmeiona mkuu
Ticket - no. 10875406 - Game Over Under

FixtureOddSelectionBet closes atRayo Vallecano - Real Sociedad1.90OverJan 3, 2016 - 2:00 pmEverton - Tottenham1.70OverJan 3, 2016 - 7:00 pmAlbacete - Ponferradina1.50UnderJan 3, 2016 - 7:00 pmCrystal Palace - Chelsea2.10OverJan 3, 2016 - 4:30 pmGranada Cf - Sevilla1.80UnderJan 3, 2016 - 6:00 pmRio Ave - Tondela1.60UnderJan 3, 2016 - 8:00 pmZaragoza - Huesca1.60UnderJan 3, 2016 - 9:15 pm
 
Jana nimemuotea 10000 nikashind 86000
 

Attachments

  • 1451812878702.jpg
    1451812878702.jpg
    30.5 KB · Views: 43
  • Thanks
Reactions: DLS
Je wenzangu wote mnakutana na hili tatizo katika kufungua kitufe cha kwanza kwenye meridian cha kuangalia historia ya nyuma ya timu !? manake sasa nimeshinwa ku bet kabisa kwani sijui historia ya nyuma ya timu na nikijibetia kienyeji nittakuwa ninaliwa tuu.

Error 403 Empty page
Empty page

Guru Meditation:
XID: 1676052711

Varnish cache server
 
Katika kufuatilia mkekabet nimegundua maximum payout yao inategemea na stake. Ila kwa ujumla maximum ni 20m.

Navyosema inategemea na stake namaanisha kuwa unapokuwa unaweka stake unatakiwa uzidishe kwa 1000 ndio itakuwa maximum payout yako.

Mfano kama stake ni 500 then maximum payout yako ni 500000 kwahiyo odds zako mara stake isizidi 500,000.

Kwa wala waliokuwa wanapata tatizo la return/payout exceeded limit.
 
Back
Top Bottom