Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haha nakupata mtoto wa nzi, iko hv.. Idea ya Kucheza bet mbili ni kuboost payout kulingana na odds kubwa kwny game. Kwahyo nikilipa ntalipa tiket mbili lakin zenye same payout kwamana hyo sitalipa 5000 kwa 5000 unavomaanisha.. Ntalipa 5000 kwa 1900 lakini mwisho wa siku napata payout moja kwa kulipa stake ndogo..
Mkuu na wewe unamsubiri villareal??
 
a40dc6492a58493682a3a3f558b4ff0b.jpg
 
jamani wale wa meridian online leo barc&madrid=utajiri
cha kufanya mpe madrid au barc win ikifika dak ya 60 kwenye zero bet
 
Sasa kaka /Dada.... Hii mikeka yote miwili tofauti ni hapo kwa sevilla tuuuu.... Mfano bet 1 unaweka 5000 na bet 2 unaweka 5000 ..... Afu seville mechi ikatoa safe si utapoteza kijinga!!?? Kwa nini usiunganishe hizo pesa ukacheza mkeka mmoja tu ukamtoa kabisa sevilla!!!?? Ni ushauri tu
Villareal
Man city
Hull city
Man city
Galatasaray
Mkubwa ushauri wangu wa jana uliufuata au ulipuuzia? Kama ulipuuza bs Villarreal alikuua.
 
Back
Top Bottom