Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naombeni msaada wa browser ipi nzuri inayoweza kufungua meridianbet bila kwikwi!
 
Wakuu naombeni msaada wa browser ipi nzuri inayoweza kufungua meridianbet bila kwikwi!
Jaribu google chrome, kwangu inafungua poah saana ila hii browser huwa inategemea na simu km una simu ya ajabu itakuzngua tu
 
Jaribu google chrome, kwangu inafungua poah saana ila hii browser huwa inategemea na simu km una simu ya ajabu itakuzngua tu
Sorry, sikujieleza vizuri, kwenye Xperia yangu natumia Google Chrome iko poa sana, shida yangu ni kwenye pc window 32 bits!
 
Habari za majukumu wakuu, hivi tatizo la server error unalimalizaje maana hata ku clear history imegoma natumia laptop..
 
Imebidi nibadili upepo Wa kampuni za kubeti..... Japo kidogo itoe gundu
 

Attachments

  • Screenshot_2016-01-18-09-35-22.png
    25.5 KB · Views: 64
Habari wakuu, hivi zile clip za marehemu shekhe Yahya hussein zinazotoa strategies jinsi yakutabiri mechi haziwezi kua msaada mkubwa kwetu ?
maana huyu kanjibai anakwangua kweli.
 
Mazee nipeni ramani mechi za leo nisafirie nyota nishachoka kukalishwa sana
 
Mdogomdogo.....ngoja tukuze mtaji....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-01-19-08-36-40.png
    26.7 KB · Views: 52
Business ngumu sana. Match fixing kila mahala no wonder sometimes tunaloose betting zetu ktk mazingira ya kutatanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…