Business ngumu sana. Match fixing kila mahala no wonder sometimes tunaloose betting zetu ktk mazingira ya kutatanisha
Bastia v sochaux ..... Sochaux kashinda dkka za nyongeza.... DKK 92.... Lakini huku inaonekana loose ticketing.,. Na wengine wote wametoa ..... SiwaelewiAccrington v Hartlepool
Napoli v inter Milan
Bolton v Eastleigh
Sarre union v Niort
Rennes v bourg peronnas
Bastia v sochaux
Bristol city v west Bromwich
Portsmouth v Ipswich
MK Dons v Northampton
Ashinde yeyote....odds 7.8
Mkuu Italy na turkey leagues zao usiguse.utapasuka kichwaKituko kingine kilitokea ktk games flani saba za series b ya Italy ambazo zilichezwa jumamosi iliyopita,games zote saba zilitoa ushindi wa finyu tena kwa timu za nyumbani zote.Hapa kuna harufu ya uhuni hapa sio bure!
Kuna mtu aliwahi husema zamaani. WhatsApp itatuulia uzi wetu wa mkeka. Sasa naamini,Tatizo la watsaap limeota mizizi na kuwa sugu
Hapo ni lose kwa misingi ipi mana game imeisha kwa dk za kawaida jamaa wameshinda ila hii option ni nzuri kweli naomba nichek whatsapp tudiscuss inshu flani hivi 0713995578 asapBastia v sochaux ..... Sochaux kashinda dkka za nyongeza.... DKK 92.... Lakini huku inaonekana loose ticketing.,. Na wengine wote wametoa ..... Siwaelewi