Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya Monaco na paok kufanya yao....
Nkaweka
Barcelona
Tots
Cheltenham
Juve

Ashinde yeyote odds 2.94....
 
Lazio v juventus
Celts vigo v atletico madrid
Athletic Bilbao v Barcelona
Evian v Monaco
Leicester v Tottenham
Skoda xanthi v paok Salonika
Cheltenham v oxford city

Ashinde yeyote ....odds 4.5

Unamaana gani 'ashinde yeyote' ?
 
haha mkuu hyo hapo chini imeandikwa "Ashinde yeyote ....odds 4.5" hujaiona au unafikiri ni game kati ya ashinde yeyote na odds 4.5?? haha


Utakuwa haupo serious kama unadhani naweza fikiria hivyo.
 
Mkuu hii ni kampuni gani?
 
Hongera kka, ila kuweka X2 ni bira uweke draw no bet- 2
 
Nimeona aisee, vipi kuhusu withdraw, ni kweli inachukua hizo dkk kumi tu?
mkeka bet wako fasta sana kuweka na kutoa hela. ukitoa hela inaingia fasta sana less than 5 minutes. meridian inaweza chukua zaidi ya wiki tatizo la mkekabet bonus yao ndogo. sijajua kama meridian wanatoa bonus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…