kampuni gani?won with odd of 1.90
Mkuu mie nimejaribu mara kibao kuweka bt Kuna tatzo, maana kila nikiweka number ya kampuni sipewi option ya kuweka reference number.Soma Maelezo pale chini....
Unajisajili kwa namba ya Voda sababu wanatumia m-pesa
.....
Tuma pesa kwa mpesa
Namba ya kampuni 238844
Mamba ya kumbukumbu 123458
Utakuja ujumbe Wa kusajiliwa ....unaanza kufanya yako
Yaah ...ashinde yeyote.. .mkuu eindhoven kwa sparta vipi jamaa wapo vizuri au ni option ya ashinde yeyote?
Kaka aksante sana. Nimeona nilichokua nakosea. Uzi huu udumuStep hizo hapo
Me huwa nafurahi tu kuwaona na pen na vinotbook vyao hahahaha!Mi sio kamaria, lakini nimekaa nao ndo nikapata hako kauzoefu. Na kingine ni kuwa watu wanabet kwa hisia kuliko uhalisia.
Kumbe 2po wengi eeehNgoja nisepe manake hapa hata sijui kinazungumziwa kitu gani.
Ukiwakuta na pen na vinotbook dah!utasema wa ud!hii kitu mnaitaga sijui kubeti sijui kunini,sipendi hii.
Uchokozi huo sasa!hahahaha!Basi bet Man U! Ha ha ha!
Hahahahaha!kipo bhana we fanya kunchckNtawatafuta nipige hata kistalert chakuzururia mjini hapa
Amaa neneeee!!Pana wenyewe huku
Eindhoven vs Sparta
Yaah ...ashinde yeyote.. .
sorry jamaa naomba msaada jinsi ya kuwithdraw pesa meridianEindhoven vs Sparta
Mhh me sio mzoefu sana ila najua kuna option ya withdrawsorry jamaa naomba msaada jinsi ya kuwithdraw pesa meridian