Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wiyogopa kyani kadoda!!

dadi wee acha tuu..nee mbwitu.nimejikuta tuu naichukia hii trend inayoshika kasi miongoni mwa vijana hasa wa Dar.nahis ni kama inafanya baadhi yao wawe both mentally and phyisically lazy.emagine napita mitaa ya kinondoni/ilala nakuta vijana wamejazana ktk kibanda cha wakala wa mpesa/tigopesa. ukiuliza hawa nao wamefata huduma ya mobile money transfer,unaambiwa hapana eti wamekuja kucheki msimo wa ligi ya bla bla bla ili wa BET.nkt.
 
Bet timu 3 mpaka 5 and then weka dau kubwa, mkeka sio dili, kila siku utakua unasema "ayaaa timu moja tu imeniangusha"

kweli kabisa mkuu! Hata mie ndo zangu hizo kuchukua timu 2 au 3 na kuweka mpunga mwingi. Jana nimechukua leicester city, parlemo na avellino nikaweka dau kubwa na ki2 kimetiki.
 
Back
Top Bottom