Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naweza nikastaff kubet..coz i tried my level best ili nile lakini pamekuwa pagumu saana...since mwaka uanze sijala
 
sijaingia muda humu ila nipo sana na muhindi namchungulia sana wk dayz
 
Wazee hivi kwe page ya meridian kuna sehemu imeandikwa casino ndo pamecontain vitu gan pale?nmefungua ipa cjaelewa kitu msaada pliz
 
wazee naomba msaada nipate kuelewa namna ya kutumia WALLET katika online beting ya m bet!
inatofauti gan na m pesa na tigo pesa
 
kanjibai uyu anakoelekea ata tua mikaka kumi na 7 ata mmoja kutiki hamna awe na fea mse,,,, uyu
 
wazee naomba msaada nipate kuelewa namna ya kutumia WALLET katika online beting ya m bet!
inatofauti gan na m pesa na tigo pesa
Tofauti ni kwamba wallet unaweza betia kuanzia 500 wakati tigo na m pesa kianzio ni 1000
 
na pesa ya kubet unaiweka vp
Unaenda kwenye deposit juu ya ticket pale unaandika kiasi unachotaka kuweka ukisubmit watakupa reference number inote down baada ya hapo unafwata procedure za kulipia kama kawaida kwa tgo au mpesa itategemea utaambiwa ulipie vipi ref number utaweka ile uliyopewa
 
Back
Top Bottom