MC Chere
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 586
- 400
Mkuu nisaidie under/over, game gani leo zinakuwa na magoli machache na zipi zitakuwa na magoli mengi?
Barca,Psg,Juventus,Inter, OVER.
Fiorentina,Nantes UNDER.
Mkuu nisaidie under/over, game gani leo zinakuwa na magoli machache na zipi zitakuwa na magoli mengi?
Sawa mkuu ila inter nina wasiwasi nae hawezi kutoa over huko kushinda tu sijui kama atashinda anaweza hata akatoa sareBarca,Psg,Juventus,Inter, OVER.
Fiorentina,Nantes UNDER.
Akili ya kuambiwa.........................Barca,Psg,Juventus,Inter, OVER.
Fiorentina,Nantes UNDER.
Barca over anatoa ila hao wengine cjui, seria a hakuna magoli mengi under za kumwaga hata leage 1 magoli adimu. Ukitaka magoli mengi bundesliga, epl na laligaAkili ya kuambiwa.........................
Fiorentina win
Juventus win
Bologna double chance 12
Chelsea double chance 12
Nice double chance 12
Angers double chance 12
Everton double chance 12
Odds 7
mkuu nawe ulipoteaWapi raimundo, cuteb, sumve2015, tejajunior, rockcitynative, mmepotea Sana wadau.
NBA:
Oklahoma vs Orlando, Home Points Half 1 over 55.5; Odd 1.80
W-Wizards vs GSW, Home Points Half 1 under 55.5; Odd 1.79
Best of Luck.
Chelsea hapana kabisa...... Dah.... Sina hamuFiorentina win
Juventus win
Bologna double chance 12
Chelsea double chance 12
Nice double chance 12
Angers double chance 12
Everton double chance 12
Odds 7
Yan Sitaki Mazoea nae kabisa Kwan mpaka wameikosesha serikali ya Maisha Fedha nyingi Sana 313860 Sio pesa kidogo Yan sitaki mazoea nao kabisa.Hahaha nyaka Jr hapa ni yuleee jamaa yako hatakiwi kujulikana jina ila niyule wakuitwaga Nas from UK nimeona hako kajina tu nikakupata mwanao mgazanyau hapa
Tufanye Kesho Asubuhi HvPole sana asee njoo tufanye mpango majini weusi ipande majuu kama vp
Ch
Chelsea hapana kabisa...... Dah.... Sina hamu
Change of plan,
Iondoe hiyo game weka
Charlote vs Cavs", Away Points Half 1 over 53.5; Odd 1.89.
Hizi ni 51% sure.
Hii ni kama mara ya 5 hivi huyu mpuuzi ananinyima pesa...Chelsea mmmmmh
Nilikupenda sana kwa sasa bye bye, sitaangalia mechi yako wala nini
Nimemweka kwenye list ya kutomweka milele hata awe anacheza na naniHii ni kama mara ya 5 hivi huyu mpuuzi ananinyima pesa...