Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ebu nisaidieni maana ya Zero bet kwenye meridian
Maana yake kwamba matokeo yaliopo kwa wakti huo yanafutwa it means draw au bilabila so unabashir matokeo ya game hilo upya either yeyote ashinde, draw au hom or away Winn/ losse
 
Mkuu naona umerudi kwa kishindo.

Mara moja moja kuna hizi odds zinaibuka inabidi ule nazo sahani moja.

Mfano sasa hivi mimi naanza kucheza First Half Points over kwa GSW, OKC na CAVs.

Nawachunguza Minnessota pia wanaweza kunipa hela kwenye First Half au total points.

Game ngumu sana naishia kucheki tu mara nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…