Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Karibu tena, sasa nadhani wakongwe watarudi.

Maana kama uliondoka nao wote.
maisha magumu mkuu itakuwa mitaji na ubize pia ndio tatizo... ila nawaombea Mungu warudi.
kubuhu nilimiss sana huku .... hata ratiba za soka nilikuwa sizipati hata ukiniuliza jana kacheza nani sijui. life izi chenjeeee
 
Man City to win 13/8 japo washapigwa 1. Fingers crossed
 
Sorry Mkuu kwa sie tuliokua mbali ukijiunga na hizi sites bank card yako ni verification tosha. So ukishajiregister tu unaanza piga mzigo. Kwa Africa na Asia sijui
Sawa malipo yanafanyikaje mkuu
 
31af13054a96aa9cade7969bf4a00776.jpg
 
maisha magumu mkuu itakuwa mitaji na ubize pia ndio tatizo... ila nawaombea Mungu warudi.
kubuhu nilimiss sana huku .... hata ratiba za soka nilikuwa sizipati hata ukiniuliza jana kacheza nani sijui. life izi chenjeeee

Jitahidi kuweka mkeka kesho kama saa nne asubuhi.

Nimenyooka.
 
Man City wamechana mkeka. Nafanya paperwork ya game za jioni
 
Back
Top Bottom