Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

English Premier League
3pm
Arsenal FC - Leicester City
Over 8.5 corners @ 1.25

7:15pm
Manchester City - Tottenham Hotspur
Over 8.5 corners @ 1.25

TOTAL 1.56

Goodluck
 
jamani naomba admins wa hii page wajaribu kutoa maelekezo kuhusu hii mambo ya kuomba na kutaka kuungwa kwenye uzi tofauti na huu.. maana haina maana kabisa. huu uzi umetengenezwa kwasababu ya kujadili, kushirikiana pamoja na kupeana mawazo kuhusu betting kiujumla, sasa mtu kama anaona hakufai basi asitumie huu uzi kuomba kutumia uzi au group lingine maana ni sawa na kuwaona waliopo humu ndani hawajui wanachokifanya, hii ni dharau kubwa na tunaomba admins wa hii page wasaidie kuban tabia za namna hyo. mtu mzima anaambiwa mara moja anaelewa sasa nyie ambao hamuelew cjui tuwachukuliaje, mnaaribu utaratibu kabisa, acheni bana!
Mkuu hii thread inaitwa "mtakuja". Usiwe na shaka nao
 
unajua nini mkuu, hawa jamaa wanataka vyote vya hapa na vya kule.. sasa waswahili wanasema mtaka mawili moja humponyoka ila kwa hawa nahisi yote yatawaponyoka.. waache tabia hii inaboa sana
Wakati thread hii inaanzishwa tulizungumzia swala la WhatsApp , tukalikataa kwa kuhofia mgawanyiko sasa nauona
 
Russia Superliga Volleyball
14:00
Kuzbass Kemerovo v Lokomotiv Novosibirsk
Will the 4th set be played?
Yes @ 1.40

Goodluck
Russia Superliga Volleyball
14:00
Kuzbass Kemerovo v Lokomotiv Novosibirsk
Will the 4th set be played?
Yes @ 1.40✅

Goodluck

✅✅✅BET WON✅✅✅
 
Leo sijui itakuwaje

Panathinaikos
Boavista
Brugge
Panionios
Freiburg
Man city
A.Madrid
Psv
Estoril

WIN
 
mkuu inaonekana wewe ndio una entertain haya mambo, huwezi kuwa against nguvu ya watu wengi mkuu.. tafuta sehemu nyingine ya kukaribisha watu kwenye group lako
Nguvu ya wengi kina nani jizungumzie wewe mwenyewe

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Nguvu ya wengi kina nani jizungumzie wewe mwenyewe

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Tired av ur group arguments, hii platform itaendelea watu wakichangia humu sio kama unavyotaka ww kwa Whatsapp.

Nadhani ungefungua thread yako yenye mlengo wa kufungua group ya betting whatsapp kuliko kuchafua hali ya hewa huku.
 
Kila nionapo minamba ya hawa mijamaa napata kichefuchefu,INVISIBLE,tafadhali shughulika na hawa mapopoma maana vichwa vyao jiwe,wanaidevalue JF.Sijui wa wapi hawa.
 
Nguvu ya wengi kina nani jizungumzie wewe mwenyewe

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Mkuu kama mwanamme basi polee....ila naamin mwanamme wa kweli akiambiwa mara moja anaelewa nin hakitakiw na anarekebisha lakin ww mhh
 
Ivi ndugu zangu, kwa premium betting matokeo ya baada ya dakika 90 yanatambulika? Kwamfano nimebeti Arsenal ashinde na mpaka dakika 90 ilikua 1-1 goli likapatikana dakika za nyongeza, apo nimekula au mkeka umechanika?
 
Kachukue pesa yako mkuu hapo umekula...dakika 90 nipale hadi philimbi ya mchezesha mpira aseme mpira umekwisha kama bado hata kama zimenda hadi dakika 100 bado tutahesabu dakika 90
 
Kachukue pesa yako mkuu hapo umekula...dakika 90 nipale hadi philimbi ya mchezesha mpira aseme mpira umekwisha kama bado hata kama zimenda hadi dakika 100 bado tutahesabu dakika 90

Shukran mkuu
 
If mtu anapenda watsaap waanzishe group kwa kuita watu na wawe wanawaita kila siku na ku update..hapa wapigwe ban
 
Back
Top Bottom