Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wadau, naombeni mnisaidie......nimeshindwa kutoa pesa meridian...maana nikitoa pesa inarudi.....ila naskia kama jina la kwny account ni tofauti na la mpesa huwa inazingua...nifanyaje ili nibadilishe? au nitumie njia gan niweze kutoa pesa?
 
Jaman huyu mkekabet nijipu yy anaiga muundo wa meridian wa kuweka hela kwenye acount ila sasa wanakata hela kila uingizapo hela ,sasa mkeka hawatoi hela ya mutolea hela ulio shinda,sasa huu si wizi ,
 
Jaman huyu mkekabet nijipu yy anaiga muundo wa meridian wa kuweka hela kwenye acount ila sasa wanakata hela kila uingizapo hela ,sasa mkeka hawatoi hela ya mutolea hela ulio shinda,sasa huu si wizi ,
Mi niliweka hela hadi leo hii siioni kwenye akaunt yangu eti wakawa wananikomalia nibet kwa njia ya sms
 
Wanajiharibia huo mkataba walio ingia na vodacom sasa wakumbuke mwenzao meridian akikukAta huwa anajitolea hela ya kutolea ila Mkekabet wanakata hela ila ukishinda yakutolea ujijue huu ni wizi
 
Yaani kama ni analysis jana nilituliza kichwa,hebu fikiria

AWAY WIN
Panathinaikos(1.95)
Clubb brugge(1.95)
Braga(1.88)
Plzen(1.51)
A.Madrid(1.51)
PSV(1.51)
Liverpool (1.77)

HOME WIN
Estoril(1.79)
Spezia(2.03)
Oviedo(2.03)

BOAVISTA (1.94)

zote nilizipa WIN

Kushituka baadae nimemuweka kirusi BOAVISTA nimempa WIN wakati kapewa odd ya DRAW.

KIUKWELI NAJITUKANA MARA KWA MARA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…