Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nani atoke nani abaki........ Sijaulipia bado
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-18-10-19-25.png
    Screenshot_2016-02-18-10-19-25.png
    48.7 KB · Views: 36
Mi siweki hela ndogo ndogo, ipo siku nitaweka hapa capture za bet zangu nilizokula na kuliwa, wengi watashangaaa maana ya chini huwa ni 1mil
Kubwa niliyoweka ilikuwa 4.8m kwa Chelsea vs Watford ila alichonufanyia hadi leo Chelsea sina hamu nae
now this means business
 
Mie kama kuliwa nimeliwa na kama kuwala nimewala hadi huwa nawaonea huruma, mfano ni hawa Mkeka Bet na williambet.....
Hawa nawakusanya leo nataka niweke hela ambayo nitapata faida ya 12.5mil, naweka sh ngapi usiniulize, timu gani
Man U, Tott, Liver , Sev, kati ya hizo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji106] good luck mkuu
 
Mie kama kuliwa nimeliwa na kama kuwala nimewala hadi huwa nawaonea huruma, mfano ni hawa Mkeka Bet na williambet.....
Hawa nawakusanya leo nataka niweke hela ambayo nitapata faida ya 12.5mil, naweka sh ngapi usiniulize, timu gani
Man U, Tott, Liver , Sev, kati ya hizo

Mzee ungekuwa unatumia wale wetu wa kucashout. Najua wewe ni mdau wa KCB but kuondoa shaka Kuhusu kuwithdraw NBC ni best. Mimi huwa natumiaga wire transfer NBC. Transaction huwa inatumia less than 24 hours nakuwa nishapata pesa No TAX, No processing fee. Unachukua cash kama ulivyoitoa. Hope utaongeza faida na hawa jamaa

Minimum withdrawable amount kwa mara moja ni USD 20. Na maximum ni USD 70000
 
Nitaweka usiku maana nikitoka job ndo naanza utafiti
Nitawawekea hapa ili ataefata apate na yeye
Kumbuka betting sio kazi ni mchezo ila inaniingizia kila siku faida
Tufanye kazi kila siku hii iwe kujifurahisha tuuu, bet responsibly,
Do not bet what you cant afford to lose
Mkuu ukiweka tu nakufata kama ulivyo
 
Wakuu Leo natoka hivi

Liverpool
Marseille
Man u
Sevilla
Valencia
Sporting cp

Zote win natupia 10000

Naomba mawazoyenu hapa.
 
Hivi humu hakuna wadau wa under/over? Maana hii options naipenda sn haina strees haijalishi kashinda yupi wala sare
 
Back
Top Bottom