Hongera mkuu naona umetusua
Hongera mkuu naona umetusua
Huyo kanichania namimi daahsao paulo kapigwa 1-0
Mi naweka 1mil... nitaweka capture baadaeDah poa mkuu Leo ni mim na wewe mkuu
Safi sana mzee wa kazi.Mi naweka 1mil... nitaweka capture baadae
now this means businessMi siweki hela ndogo ndogo, ipo siku nitaweka hapa capture za bet zangu nilizokula na kuliwa, wengi watashangaaa maana ya chini huwa ni 1mil
Kubwa niliyoweka ilikuwa 4.8m kwa Chelsea vs Watford ila alichonufanyia hadi leo Chelsea sina hamu nae
Huyo mshenzi kaharibu mkeka wangu wa mil 2 nimelala nikijua nakuta pesa kumbe huyo fala kaharibuSao Paul kaharib apo
Uku co sehemu yake kakaPamoja
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji106] good luck mkuuMie kama kuliwa nimeliwa na kama kuwala nimewala hadi huwa nawaonea huruma, mfano ni hawa Mkeka Bet na williambet.....
Hawa nawakusanya leo nataka niweke hela ambayo nitapata faida ya 12.5mil, naweka sh ngapi usiniulize, timu gani
Man U, Tott, Liver , Sev, kati ya hizo
Mie kama kuliwa nimeliwa na kama kuwala nimewala hadi huwa nawaonea huruma, mfano ni hawa Mkeka Bet na williambet.....
Hawa nawakusanya leo nataka niweke hela ambayo nitapata faida ya 12.5mil, naweka sh ngapi usiniulize, timu gani
Man U, Tott, Liver , Sev, kati ya hizo
Mkuu ukiweka tu nakufata kama ulivyoNitaweka usiku maana nikitoka job ndo naanza utafiti
Nitawawekea hapa ili ataefata apate na yeye
Kumbuka betting sio kazi ni mchezo ila inaniingizia kila siku faida
Tufanye kazi kila siku hii iwe kujifurahisha tuuu, bet responsibly,
Do not bet what you cant afford to lose
Hapo zenye uhakika wa kushinda ni liva, sevilla na man u hao wwngine watakuchania mkekaWakuu Leo natoka hivi
Liverpool
Marseille
Man u
Sevilla
Valencia
Sporting cp
Zote win natupia 10000
Naomba mawazoyenu hapa.