Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Kweli kbs mkuu hata mm nimemwambia hivyohivyo ulichokifanya ww ni kufafanua zaidi,Marseille kumfunga Athlet ngumu
Valencia kumfunga Rapid ngumu
Sporting Cp nae kushinda kazi sana.....
Usichague timu kisa odds ndogo au uzoefu wake, kuna mengi ya kuangalia ati
Kaka hii 2+ ina maana ganMan U win 1.77
Dortmund win 1.48
Sevilla win 1.12
Villareal 2+ 1.37
Anderlt 2+ 1.35
Lazio 2+ 1.34
Marseille 2+ 1.4
Liverpool win 1.97
Total odds ni 20.95
Timu 8/16
Toa unayotoa au weka nyingine yoyote ila mimi natoka hivo leo
Odds kwa hisani ya Mkekabet
Pamoja ninja, ngoja tu nijilipue hamna jinsi potelea mbali.Good luck odds 3.7 hizo kazi kwako
Weka hela ya maana hakika hutajutia
Ok nmekuelewa kiongizOver 1.5
Yaani kuanzia magoli 2 kwenda mbele
Kweli kbs mkuu hata mm nimemwambia hivyohivyo ulichokifanya ww ni kufafanua zaidi,
Kama ana roho ngumu haiue valencia, hiyo game ni ngumu kuliko navyofikiria yani kama sio sare basi valencia anafungwa
Marseille kumfunga Athlet ngumu
Valencia kumfunga Rapid ngumu
Sporting Cp nae kushinda kazi sana.....
Usichague timu kisa odds ndogo au uzoefu wake, kuna mengi ya kuangalia ati
Jaribu kuLog out then log inTATIZO.Nikitaka kumqoute mtu inakataa,nifanyeje?
Ndio unatoa ule au kuna mwengine? Maana ulisema utaweka usiku mkeka wakoKwaherini
Leo natembelea nyota yako naufata kama ulivyoNdio huo huo nilioweka hapo....
Chambua unazoona zinafaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji15] [emoji120] [emoji120] [emoji120] dah huyo pepo apite mbalihuyuu man u wote tumempa ***** akitulipuaa aseee