Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Katoka kufungwa na sunderland then tunakuja kumpa winning..wakati twajua man u sio mzuri anapokuwa away na history sio nzuri saana
 
La mama yake Man U. Yaani nimemkwepa kumpa ushindi. Nikampa No GG pia kaharibu.
 
Uko right
Hata mimi nawafikiria hao hivo hivo
Plzen
Juve
Brugger
All win

dah lakini naona zimepewa point ndogo sana mfano ukiweka hizo tatu tu then ukarushia 20000 eti unapata 40000 minaona kama ni hasara tu mzee.........nimeshapigwa kwanzia mwezi wa kwanza hadi nakata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…