ponjo12
Member
- May 5, 2013
- 71
- 20
Bet online premier betting
Mkuu kunanjia tofauti ya deposit zaidi ya kutumia voucher zao, mana maeneo niliko hazipatikani, kubet online kwenye premier betting
Bet online premier betting
Kama nilivyopost, kama kuna aliyenikopi hongera zake mm kamzigo kameshaingiaBarcelona
Celtic
Bayernmunic
Burney
Le havre
Wrote wanashinda.
Nimewekeza laki mbili nile laki sita hapo, Maombi yenu plz
Namxubir batis na monacoKama nilivyopost, kama kuna aliyenikopi hongera zake mm kamzigo kameshaingia
ungeweka humu mkeka watu tucheki ungeonekana wamaana zaidiKwa wanaopenda mikeka mirefu jaribuni sana 2+ ya England Ligi one na two pamoja na Brazil huwa zinakubali kama mimi jana...(timu usizidishe 8)
mkek mrefu xana kaka huo kwa main punguza ubak na NNE au tanoBeveren & Anderlecht - anyteam win
Marseille & St.Ettiene - 2+
Malaga & Real Madrid - 2+
Atalanta & Fiorentina - anyteam
Porto & Moreiresse - 2+
Rayo & Sevilla - 2+
Torino & Capri - 2+
Roma & Palemo - 2+
Dortimund & Livakusen - 2+
Vitesse & De graf - anyteam win
Odds - 8.56
CHELSEA WIN
ROMA WIN
ATL MADRID DRAW
KAMA UNAKIFUA FATA