Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya kuchambua sana nimetoka hivi
Basel
Man utd
Spurs
Napoli
Atletico club
Olympiakos
Liva
Lazio
Leverkusen
Schalke 04
Nataka nipunguze hizi timu nyingi sn, nimtoe yupi hapa?
 
Atletico amepoteza mtaji wangu..nashauri wekeni tim 2 au 3 then hela nzuri...ni rahis sn kuliko kuweka timu nying afu dau dogo ukitegemea kuvuta mkwanja mrefu mhindi atatuchapa kila siku wakuu
 
Atletico amepoteza mtaji wangu..nashauri wekeni tim 2 au 3 then hela nzuri...ni rahis sn kuliko kuweka timu nying afu dau dogo ukitegemea kuvuta mkwanja mrefu mhindi atatuchapa kila siku wakuu
Hizo nitapunguza, alafu kula hela kwenye kubet ni zali na huu ni mchezo wa kubahatisha hauna kanuni unaweza kuweka timu 8 ukala na ukaweka timu 3 ukachana
Pole kwa kumaliza mtaji
 
Spurs
Liva
Schalke 04
Lazio
Hawa wote walidraw ugenini leo wapo nyumbani wana nafasi kubwa ya kupata matokeo
 
Basel
Man utd
Napoli
Olympiakos
Hawa nao walifungwa ugenini ila leo wapo nyumbani wana nafasi kubwa ya kupata matokeo
 
Habari zenu....wazoefu wa betting hii naomba mnijuze all kind of plays yaani mfano kuna 1, x , 2, kuna timu kupata goli after 28 minutes... Naomba kujua na nyingine
Asante
 
Kuna option moja ipo Premier betting, half with most goals, sijui kwa nini watu wengi hawaichezi lakini mkwanja wake upo nje nje na point ni nyingi, yaani kwa wiki huwezi kumkosa muhindi kwa kuweka timu tatu tu zishinde kipindi cha kwanza magoli mengi ni point 24.389, sasa ukitupiamo 4,000 tarajia 85,00/=

my predictions kwa mechi zitakazopata magoli mengi kipindi cha kwanza ni

1. Bayer Leverkusen vs Sporting
2. Tottenham
vs Fiorentina
3.
Liverpool
Augsburg
4.
Manchester Utd vs

FC Midtjylland


Kati ya hizo chagua tatu, upige hela au chagua mbili weka dau la kisela upige hela maana zikiwa timu mbili point ni 8.41, sasa unataka mungu akupe nini hapa duniani, yaani kujua liva, chicharito watapata magori mengi kipindi cha kwanza nayo hiyo ngumuπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Please dial M-Pesa *150#00# and put 300300 business number with reference number 42923/1,000 =

Bayer Leverkusen - Sporting Cp

Normal

1.60

Bayer Leverkusen Win

Feb 25, 2016 - 9:00 pm

Athletic Club - Marseille

Normal

1.65

Athletic Club Win

Feb 25, 2016 - 9:00 pm

Fc Schalke 04 - Shakhtar Donetsk

Normal

1.65

Fc Schalke 04 Win

Feb 25, 2016 - 9:00 pm

Lazio - Galatasaray

Normal

1.51

Lazio Win

Feb 25, 2016 - 9:00 pm

Liverpool - Fc Augsburg

Normal

1.41

Liverpool Win

Feb 25, 2016 - 9:00 pm

Molde - Sevilla

Normal

1.62

Molde Lose

Feb 25, 2016 - 11:05 pm

Napoli - Villarreal

Normal

1.65

Napoli Win

Feb 25, 2016 - 11:05 pm

Olympiakos Piraeus - Anderlecht

Normal

1.65

Olympiakos Piraeus Win

Feb 25, 2016 - 11:05 pm

Manchester Utd - Fc Midtjylland

Normal

1.13

Manchester Utd Win

Feb 25, 2016 - 11:05 pm

Cesar Vallejo - U. Comercio

Normal

1.41

Cesar Vallejo Win

Feb 25, 2016 - 11:59 pm

Vasco Da Gama - Friburguense

Normal

1.32

Vasco Da Gama Win

Feb 25, 2016 - 11:59 pm

Santos - Mogi Mirim

Normal

1.28

Santos Win

Feb 25, 2016 - 11:59 pm

Cerro Porteno (par) - Cobresal (chi)

Normal

1.38

Cerro Porteno (par) Win

Feb 25, 2016 - 11:59 pm

Rosario Central(arg) - Nacional (uru)

Normal

1.43

Rosario Central(arg) Win

Feb 25, 2016 - 11:59 pm

Emelec (ecu) - Dep. Tachira (ven)

Normal

1.37

Emelec (ecu) Win

Feb 25, 2016 - 11:59 pm

Trujillanos Fc (ven) - River Plate (arg)

Normal

1.52

Trujillanos Fc (ven) Lose

Feb 25, 2016 - 11:59 pm
 
Wa kusoma kwa mechi zote hizo utapigana na mwisho huto uona, principal ya betting ukizidisha sana cheza mechi tatu, lakini zaidi ya hapo winning ni once a year
 
We jamaa mbona mitimu mingi sana? Punguza bhana
 
Mkuu hii kweli inalipa watu wengi wanamliza mhindi..ngoja nam leo niijaribu nampa
Sevilla
Valencia wote win kipind cha kwanza sitaki stres ya timu nyingi na kusubiri matokeo in 90minutes nikimkosa leo ntabid nikaoge baharin maana
Sevilla alimchapa 3 huyo jamaa leo ni marudiano na Valencia alinichapia 6 huyu anaecheza nae leo...maombi yenu tafadhali maana hata matobo ya mkanda yanazid kuongezeka
 
Sam4 Hujanielewa vizuri option hiyo ya premier betting ni 22 yaani magori mengi yapatikane kipindi cha kwanza na ina 2.9 kwa kila mechi, so haina sababu ya kumfuata manchester ambae kapewa 1.13 badala ya kumpa magori mengi yapatikane kipindi cha kwanza upige 2.9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…