kuruta
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 261
- 103
Wajitahidi zaidi ya hapo maana hakuna kitu kinacho kera kama kusubilia mshikoMdau kuboresha kwenyewe ndio huko.... At least sasa ndani ya 72hrs unapata
Wajitahidi zaidi ya hapo maana hakuna kitu kinacho kera kama kusubilia mshikoMdau kuboresha kwenyewe ndio huko.... At least sasa ndani ya 72hrs unapata
Kwanini bado watu wanahangaika na meridian wakati huyu mkeka anatoa within minutesMdau kuboresha kwenyewe ndio huko.... At least sasa ndani ya 72hrs unapata
Kwanini bado watu wanahangaika na meridian wakati huyu mkeka anatoa within minutes
Mkuu upepo wa Leo vipi mana mhindi kanipiga kweliNipo kotekote coz mkeka Kuna option zingine hana kama ya 2-4
Mtoto was nzi VP leo pamekuwaje?Mdau kuboresha kwenyewe ndio huko.... At least sasa ndani ya 72hrs unapata
Braga jamanBraga anaharb Harus
Naenda na City leo
Mkuu umetishaNadhani sasa nikalale maana kama faida nimepata zaidi
Usiku mwema
642,000 profit
Kodi nimelipa 118,000