Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

2a4abae14d11b03c1c329dff7edaaf81.jpg

Mtaji ulikua unaenda rijojo. Angalau nachechemea [emoji13]
Hongera mkuu
 
Hongera kwa mliotusua Jana...

Leo,Ki hivi hivi:-

Dynamo kiev vs Manchester city,Man city to win both halves.

Sport Braga vs Sion,Braga to win both halves

PSV Eindoven vs Atletico Madrid,Madrid to win both halves.

Analysis,hapo Wakuu....
 
atl .m kuwin both halves n kaz sana
kwann usimwondoe
 
Hongera kwa mliotusua Jana...

Leo,Ki hivi hivi:-

Dynamo kiev vs Manchester city,Man city to win both halves.

Sport Braga vs Sion,Braga to win both halves

PSV Eindoven vs Atletico Madrid,Madrid to win both halves.

Analysis,hapo Wakuu....
Mkuu sasa hvi Ukraine baridi kali sana. Man City watasumbuka kidogo
 
Hodi hodi nilienda tafuta pesa sas Nina mtaji wa kutosha biashara inaanza Leo nitamuhamisha mji tuuh uyu jamaa
 
Samahan kwa wale wakuu wanaotumia kampuni za nje kama 365bet nani ashawahi toa kwa wire transfer? Shukrani in advance

Mimi huwa ninatumia visa ya NBC ya Tsh, huwa nadeposit kwa kutumia option ya visa/Master na huwa nachajiwa kwa exchange rate ya siku hiyo. Hakuna transfer fee ama processing fee. Na kuhusu kuwithdraw, option ya Visa master kwa tanzania huwezi tumiwa as ni moja ya regulation za BOT kuzuia money laundring na vitu kama hivyo. Option huwa ninayoitumiaga kuwithdraw pesa ni wire transfer.

Huwa nawatumia Bet365 details zangu kama beneficiary through Live chat option, Nacomand pesa zitoke katika akaunti yangu, nawaachia wao wanashughulikia na wananitumia kwa hiyo wire transfer/ TT katika akaunti yangu. Na toka wanitumie mpaka kunifikia mimi huwa inachukua less than 24 hours pesa inakuwa imedisplay katika account. Halikadhalika kuwithdraw hakuna fee yoyote. Ulichokitoa ndicho unachokipata, mambo ya fees ni juu yao wao. Hii ni experience yangu na Bet365

Details ambazo wao waliniomba niwape na ambazo nilisubmit kwao kwa ajili ya wire transfer ni hizi hapa chini.

1. Bank country - Tanzania
2. Bank Name - National Bank of Commerce Limited
3. Branch postal address - 9002, Dar es salaam,
4. Name as held by bank - Complex conjugate
5. Account type - Saving
6. Account number - 01***********
7. SWIFT code - NLCBTZTX0T8
8. Bank code - 015
9. Branch code - 012

ukiondoa jina na akaunti namba, hivyo vingine vyote ni details sahihi kwa NBC Samora Branch.
 
Shukran Mkuu complex
 
Wakuu naona meridian kwenye malipo bado shida sana wanachelewa mno, kuna mdau humu alisema wameboresha naona bado
 
Back
Top Bottom