Mnyasikoma
Member
- Oct 17, 2014
- 30
- 13
Nielekeze jinsi ya kujiunga na hiyo m bet ya voda,,,mkuu jamaa hawacheleweshi kama unavosema. Mi kila nikila kesho yake mida ya kuanzia sa 4 had sa 8 inakua mzigo ushaingia. Huwa wakichelewa nawapigia simu wanarekebisha fasta