Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Kuwa makini sevilla na valencia ni kama washapita wala hawana shida na magoli mengi, kama huyo sevilla ana big match weekend hii mechi ya leo wala hana shida ya kujichoshaMkuu hii kweli inalipa watu wengi wanamliza mhindi..ngoja nam leo niijaribu nampa
Sevilla
Valencia wote win kipind cha kwanza sitaki stres ya timu nyingi na kusubiri matokeo in 90minutes nikimkosa leo ntabid nikaoge baharin maana
Sevilla alimchapa 3 huyo jamaa leo ni marudiano na Valencia alinichapia 6 huyu anaecheza nae leo...maombi yenu tafadhali maana hata matobo ya mkanda yanazid kuongezeka
Idadi ya magoli watayofungana kipindi cha kwanza izidi ile ya kipindi cha pili mf lazio 1-0 galatasaray na goli lilifungwa kipindi cha kwanza hapo inakuwa imetiki I.e 1> 0Sam4 Hujanielewa vizuri option hiyo ya premier betting ni 22 yaani magori mengi yapatikane kipindi cha kwanza na ina 2.9 kwa kila mechi, so haina sababu ya kumfuata manchester ambae kapewa 1.13 badala ya kumpa magori mengi yapatikane kipindi cha kwanza upige 2.9
Iyo option ina maana hyo magoli yptikane kwa tmu 1 au zote. Npe muelekezo mkuuSam4 Hujanielewa vizuri option hiyo ya premier betting ni 22 yaani magori mengi yapatikane kipindi cha kwanza na ina 2.9 kwa kila mechi, so haina sababu ya kumfuata manchester ambae kapewa 1.13 badala ya kumpa magori mengi yapatikane kipindi cha kwanza upige 2.9
Mkuu hapo wanaonekana ni Man U na LeaverkursenKuna option moja ipo Premier betting, half with most goals, sijui kwa nini watu wengi hawaichezi lakini mkwanja wake upo nje nje na point ni nyingi, yaani kwa wiki huwezi kumkosa muhindi kwa kuweka timu tatu tu zishinde kipindi cha kwanza magoli mengi ni point 24.389, sasa ukitupiamo 4,000 tarajia 85,00/=
my predictions kwa mechi zitakazopata magoli mengi kipindi cha kwanza ni
1. Bayer Leverkusen vs Sporting
2. Tottenham vs Fiorentina
3.
Liverpool Augsburg
4.
Manchester Utd vs
FC Midtjylland
Kati ya hizo chagua tatu, upige hela au chagua mbili weka dau la kisela upige hela maana zikiwa timu mbili point ni 8.41, sasa unataka mungu akupe nini hapa duniani, yaani kujua liva, chicharito watapata magori mengi kipindi cha kwanza nayo hiyo ngumu🙁🙁🙁🙁🙁
Weka uliotabiri ili watu waone mkuuAny team Sam, yaani idadi ya magori kipindi cha kwanza iwe kubwa kuliko kipindi cha pili, nitaweka mkeka wangu nitakaoshinda siku ya leo
Usijaribu mkuu. huu mchezo ukianza kuucheza inakuwa ngumu kuuacha. Unakuwa kama mvuta sigara akishaanza kuvuta kuacha inakuwa ngumu.Napenda kubet lakin sijui nitaanzaje
Picha haifunguki mkuuAcheni kuzunguka zunguka. Pesa tupu hapa leo.
Inafunguka bhana....Picha haifunguki mkuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Dah! Kweli umevurugwaLiver lose
Man lose
Tottenham lose
Dortmund win
Sevila win
Tahadhari mim nimejikuta nimeweka ivo na nshalipia ati hata sijielew
Yaan we acha tuuDah! Kweli umevurugwa
Duh aisee, ila lolote laweza tokeaLiver lose
Man lose
Tottenham lose
Dortmund win
Sevila win
Tahadhari mim nimejikuta nimeweka ivo na nshalipia ati hata sijielew