Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani jana nimeweka dau la elfu 50 timu Leixecity na Burney na zote zikaw zimeshinda ilibidi nile laki na ishirini lkn mpaka sasa hawa mkeka bet hawajanitumia hela yangu. Naweza kuibiwa kweli au niendelee kusubiri? Mbona kipindi cha nyuma nikishinda ndani ya dk kumi mzigo unaingia?

Ushauri plz maana niko mkoani ambapo hakuna ofisi zao
 
mtando wa voda ndo unasingua mbona wemetuma sms kwa members we hujaipata..?
 

M-bet
Kutokana na Tatizo la voda Mpesa bado tunashindwa kutuma tiketi udhibitisho wa ushindi kwa wateja. tuna wa taarifa kwamba pindi voda wa kilitatua hilo tatizo, utapokea tiketi ya uthibitisho wa ushindi wako
 
Sina kitu leo,ila nifuate hapa.

-MSV vs ST.PAULI
St.pauli WIN
-Heracles vs Roda
DRAW
-Ajax vs az alkmaar
Ajax WIN
TOTAL ODDS AFTER TAX 9.3

Mwenye mtaji atie hata kilo.
 
.....mancity leo wekeni mbali na watoto atachana mikeka mingi.. Option nzuri kwa hii game ni 2+ au 3+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…