hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
M-pesa inazingua mtandao hata mm hawajantumia changu ila wametuma sms kuwa tusubiriHata mimi nimepmiga muhind wa m bet tiket ni paid tu ila mzigo bado haujafika
M-pesa inazingua mtandao hata mm hawajantumia changu ila wametuma sms kuwa tusubiriHata mimi nimepmiga muhind wa m bet tiket ni paid tu ila mzigo bado haujafika
Sevilla wagumuKaka Root kwa nini Barca umemwacha leo?
Mimi nitampa x2.....mancity leo wekeni mbali na watoto atachana mikeka mingi.. Option nzuri kwa hii game ni 2+ au 3+
Mkuu nilidhani kwangu tu haitaki kabisa yani. Custom net spy nini sijui aaaarghmeridian inazingua
Connection brokenMkuu nilidhani kwangu tu haitaki kabisa yani. Custom net spy nini sijui aaaargh
Sijakuelewa mkuu...weka mambo vizur nikufuate leoMimi nitampa x2
Sijakuelewa mkuu...weka mambo vizur nikufuate leo
Ahsante mkuuAtampa mancity ashinde ama asuluhu.
Ndo jina la kampun wala hujakoseawadau nimefungua account Mkekabet na nime deposit hela kiasi bt sms ya M-pesa inasema hela imetumwa RAIN DIGITAL LTD au nimekosea reference namba.msaada
Mkuu meridian bado wanasumbua maana hata mimi leo timu nilizokua naziwaza zina ushindi mnono mpaka sasawadau nimefungua account Mkekabet na nime deposit hela kiasi bt sms ya M-pesa inasema hela imetumwa RAIN DIGITAL LTD au nimekosea reference namba.msaada