Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,066
- 3,639
Hapo mkuu mbona hakuna option iliokubali kati ya hizo imekubali kipindi cha kwanza lakini imegoma kipindi cha pili ingekuwa goals in both halves hapo sawa lakini kwa hiyo option ingekuwa sawa kama timu moja kati ya hizo isingepata goli kipindi cha pili.Naombeni mnipe tafsiri ya "TO WIN BOTH HALVES" iliyopo kwenye mkeka bet.
LET SAY Barcelona vs Sevilla
Je,
1.Kipindi cha kwanza ikiwa BARCA 1-0 SEVILLA na BARCA 1-1 SEVILLA,je ni matokeo yapi yatakuwa yamechana/kutick mkeka.
2.Full time.BARCA 2-1 SEVILLA na ikiwa first half ilikuwa Barca 1-0 Sevilla na Second half ikawa BARCA 1-1 SEVILLA ambapo ndipo final inapokuja BARCA 2-1 SEVILLA sasa ni matokeo yapi yatakuwa yamechana mkeka.
Hapo mkuu mbona hakuna option iliokubali kati ya hizo imekubali kipindi cha kwanza lakini imegoma kipindi cha pili ingekuwa goals in both halves hapo sawa lakini kwa hiyo option ingekuwa sawa kama timu moja kati ya hizo isingepata goli kipindi cha pili.
dah hiyo hatar jamaa,,,izo final score
spata nawasiwas nae mpe double chanceLeo vp jamani?
Lazio
Benfica
Sporting cp
Brighton
Sparta
Cagliari
All win
Iko poa, mimi nachukua mbili tu hapo najilipuaLeo vp jamani?
Lazio
Benfica
Sporting cp
Brighton
Sparta
Cagliari
All win
SINGLE BETIko poa, mimi nachukua mbili tu hapo najilipua
Cagliari win
Ongeza na lazio tia mzigoIko poa, mimi nachukua mbili tu hapo najilipua
Brighton win
Cagliari win
SASUOLLO namuogopa kinyama anaweza pata goli???Ongeza na lazio tia mzigo
Anafungwa bhana, weka normal tuSASUOLLO namuogopa kinyama anaweza pata goli???
Utakuwa haujatick mkuu kwa sababu hiyo both halves inamaanisha vipindi vyote sasa hapo atakuwa ameshinda kipindi cha kwanza na kipindi cha pili itakuwa sare utofautishe na ile option half t- full t ndio ingekuwa imetickSo,do you mean,ikiwa first half BARCA 1-0 SEVILLA na hayo ndo yakawa FULL TIME RESULT,mkeka wa TO WIN BOTH HALVES utakuwa umetick?
Jamaa wanafatana kwenye ligi wamepishana point 1 ni mechi ngumu hii labda tuwape 2+ au tumpe 1x.Ongeza na lazio tia mzigo
Anafungwa bhana, weka normal tu[/Qkwenye game tano za mwisho kashnda moja kama lazio
Acha uoga, mechi ya napoli ndio ngumu.Jamaa wanafatana kwenye ligi wamepishana point 1 ni mechi ngumu hii labda tuwape 2+ au tumpe 1x.
Mkuu kama tungekua waoga tusingecheza huu mchezo, huo ni mtazamo tu.Acha uoga, mechi ya napoli ndio ngumu.
Natabiri lazio 3-1 sassuolo tukutane baada ya mechi