Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo ni kwamba timu ishinde vipindi vyote viwili ,sasa 45mnts za kwanza walienda 1-1,so hapo hakuna mshindi ,45mnts za kipindi cha pili barca akaongeza moja so imetiki kipindi kimoja tu so umechanika huo!!
 
Kila ninanapotaka kutuma mkeka naambiwa "matatizo validation [translation-total odds] nabet ONLINE kwa MKEKA BET.

Msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…