Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba ufafanuzi kwenye ile Play Super 1×2 mwenye kuielewa please...nimeona tu unapewa game 12 za kubashiri na nyingine 4 zipo reserve...sasa hz reserve games zina msaada gani?
Reserve zippo km game za juu zikiwa cancelled au postponed za reserve ndio huwekwa badala yake
 
Reserve zippo km game za juu zikiwa cancelled au postponed za reserve ndio huwekwa badala yake
Ok nashukuru bwana Public Enemy
Kingine mkuu mbona kuna option zingine kama nyepesi sana halafu points ni nyingi..mfano ile option ya both teams scores in 90min then useme Yes or No..nimeona kama ni bashiri nyepesi au ni ugeni wangu tu?
 
Hahahaaa mkuu nacheka sio kwamba nakucheka ila mambo ni magumu sikuhizi. Hii biashara imekua ngumu. Ni option nyepesi kama utafanya uchambuzi mzuri na kujua ni timu gani zitafungana yaani kila timu lazima ipate goli. Na kama utaweka timu chache kama 2 au 3 na kuweka stake kubwa basi itakua vema. Ila kama utaweka treni basi itakua kila siku ni kilio.
 
Ok nimekusoma mkuu, kwa hio ujanja ni kuchambua game zako chache let say 3 games then unaweka mzigo heavy kiaina. Of course hesabu ya Probability inakubali kama game ni chache kuliko kujaza games mingi mingi..
Ok ila ndio bahati nasibu yenyewe...ngoja tuendelee kujifunza
 
Pitia record zao wakikutana inakuaje?
 
Wakuu mbona nashindwa kuji-register meridian betting...dah nimewapenda wana betting options nyingi lakini kujisajiri inakuwa issue au hawana online betting kama m-bet
 
Wakuu mbona nashindwa kuji-register meridian betting...dah nimewapenda wana betting options nyingi lakini kujisajiri inakuwa issue au hawana online betting kama m-bet
unashindwaje...

au unakwama ktk hatua ipi
 
hii meridian inaboa sana kukiwa na match nzuri hata kufunguka ni shida
Japo mimi ni mgeni kwenye industry ya betting, ila Meridian huduma yao ya online sio user friendly..Japo kiukweli wana options nyingi sana na bora za betting kuliko mbet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…