Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Sijaulipia bado huo mkeka naendelea kukusanya maoni nikiona vp naubadilishaKichuna, kumbuka liva yupo nyumbani...
Ebu nielekeze unachanganya vp options? Naona umeweka ushindi wa kawaida na dk 45?Hatimaye nimeweza kuuweka mkeka wangu hapa, guyz kwanza mjue ni mara yangu ya kwanza ku-bet..naombeni comments zenu as days goes on nikipata uzoefu nitapandisha dau langu maradufu.
Kwenye m-bet online page yao, ipo options ya kuchanganya michezo..wanachanganya Normal,handcap & 45min then ni wewe tu kuchagua..Nimeogopa handcap ikabid nichanganye Normal na 45Min.Ebu nielekeze unachanganya vp options? Naona umeweka ushindi wa kawaida na dk 45?
Hii App inaitwajwe mkuu?ebu ona.. wachezaji wote hawa hawachezi![]()
MeridianbetKwenye m-bet online page yao, ipo options ya kuchanganya michezo..wanachanganya Normal,handcap & 45min then ni wewe tu kuchagua..Nimeogopa handcap ikabid nichanganye Normal na 45Min.
Kiukweli ndio mara yangu ya kwanza ku-bet hivyo naombeni mbinu zaidi za kuibuka kidedea.
Nahisi kama vile nimechagua mechi nyingi(10)?? Wakongwe mtaniambia.
Kama kuna company zingine nzuri zaidi ya m-bet niambiane pia ila nijaribu na huko
Sawa, nielekeze unachanganya vpKwenye m-bet online page yao, ipo options ya kuchanganya michezo..wanachanganya Normal,handcap & 45min then ni wewe tu kuchagua..Nimeogopa handcap ikabid nichanganye Normal na 45Min.
Kiukweli ndio mara yangu ya kwanza ku-bet hivyo naombeni mbinu zaidi za kuibuka kidedea.
Nahisi kama vile nimechagua mechi nyingi(10)?? Wakongwe mtaniambia.
Kama kuna company zingine nzuri zaidi ya m-bet niambiane pia ila nijaribu na huko
Inaitwa whoscoredHii App inaitwajwe mkuu?
Hiyo option ya kuchanganya michezo inaitwaje?Kwenye m-bet online page yao, ipo options ya kuchanganya michezo..wanachanganya Normal,handcap & 45min then ni wewe tu kuchagua..Nimeogopa handcap ikabid nichanganye Normal na 45Min.
Kiukweli ndio mara yangu ya kwanza ku-bet hivyo naombeni mbinu zaidi za kuibuka kidedea.
Nahisi kama vile nimechagua mechi nyingi(10)?? Wakongwe mtaniambia.
Kama kuna company zingine nzuri zaidi ya m-bet niambiane pia ila nijaribu na huko
MultibetHiyo option ya kuchanganya michezo inaitwaje?
Roootssss uko wapi Braza
Mtoto wa nzi
Teja junior
Nsaidieni Leo nitoke vipi
'Play Multiple bet'Hiyo option ya kuchanganya michezo inaitwaje?
Poa mkuu nimeiona'Play Multiple bet'
Itakuja Normal, Handicap na 45Min kwa kila game iliyopo siku hiyo, then utapaswa kuchagua option moja/per game. Hivyo game hii unaweza kuchagua 45Min, nyingine ukaweka handicap, na nyingine tena ukaweka Normal...ni hivyo tu mkuu