Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mkekabet.com meridianbet.co.tz supabet.com
Hii option inapatikana wap mkuu mtoto wa inzi
Hii option inapatikana wap mkuu mtoto wa inzi
Mapema nimechana kweli betting ni gameAtletico Madrid 28+
Milan 28+
Odds 5 ushindi upo hapa leo
28+ ni nini?Mapema nimechana kweli betting ni game
Wasipate goli ndani ya dakika 28 za kwanza toka mpira uhanze28+ ni nini?
Duuh... pole mkuu mm kamkeka kangu bado kanapumua ngoja nilale nitachek matokeo asuhuhi ila southampton anataka kuharibu n yeyeWasipate goli ndani ya dakika 28 za kwanza toka mpira uhanze
Najua unachana kma kawaida yako kesho asbhDuuh... pole mkuu mm kamkeka kangu bado kanapumua ngoja nilale nitachek matokeo asuhuhi ila southampton anataka kuharibu n yeye
Kila la kheri ndugu yangu
wakuu leo natoka hivi,
WALSALL 1.98 WIN
CHESTERFIELD 1.94 WIN
ATLETICO MADRID 1.35 WIN
AC MILAN 1.23 WIN
LEICESTER 1.62 WIN
ASTON VILLA 1.78 LOSE
SUNDERLAND 2.49 LOSE
HANNOVER 96 1.80 LOSE
Stake 2000
M-Pesa
Number of bets: 8
Possible winnings: 164,870.39 Tsh
Tax on winnings (18%): 29,316.67 Tsh
Winnings after tax: 135,553.72 Tsh
Wee acha tuNajua unachana kma kawaida yako kesho asbh
Pole sana huyo Leicester kauaaaa wengiiiii ila tusikate tamaa leo pia ni sikuKisicho riziki hakiliki jamani,yaani jana nimetoka na option ya TO WIN BOTH HALVES.
-OXFORD
- RANGERS
-AC MILAN
-A.MADRID
-Leicester
TOTAL ODDS 370 NIKATUPIA 1000
Nyote mnajua alichokifanya mngese LEICESTER
Root hii biashara mtabaki. Wachache aisee maana imekuwa ngumu jana nliamini nitapunguza machungu Leicester kaondoka na laki yangu dadeki
Sisi wengine tutajitoa tutawaacha wenye nazo tu mchezeBoss huu mchezo sio wa kuwekea timu nyingi
Jana nilimweka huyo Leicester ila baada ya kutafakali nikasema hapana WB ni mgumu sana
Nikamtoa
Za leo nimepata odds 7 nitaweka 700000
Leo weka nikufate nipate hata hela ya chai maana kuweka mzigo kama ww siwezi sina uwezo huoHapana Boss mbona sisi hatuna hata
Dondosha basi hizo mech watu nao wajaribu bahati yao....na sio kuishia kisema odds 7 bila kuweka hapa wadau wakaona kesho ukaja na attachmentBoss huu mchezo sio wa kuwekea timu nyingi
Jana nilimweka huyo Leicester ila baada ya kutafakali nikasema hapana WB ni mgumu sana
Nikamtoa
Za leo nimepata odds 7 nitaweka 700000
Wakila ndio wanasemaDondosha basi hizo mech watu nao wajaribu bahati yao....na sio kuishia kisema odds 7 bila kuweka hapa wadau wakaona kesho ukaja na attachment
hongera mkuu