Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Fiorentina ka draw lazima utakuwa muhimbili.
Hamna.... Nipo salama kabisa mkuu.... Sijacheza leo.... Niko mapumzikoni.... Ila kama ningecheza ningeliwa pia... Arsenal kanyoroshwa... Foire kavutwa shati.. Middlesbrough anapumulia machine....
 
Mbwana Samatta Kaipatia goal la kwanza time yake ya Genk. Nyota yake inang'ara Mara baada ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza
 
Mimi kwa leo nimetoka hivi;
Leganes
Real madrid
Fiorentina
Napoli
Fenebahche
Locomotive moscow
Leviski
Rb Leipzig
Total odds. 13.24 nimetia 200,000

All win. Ushauri sio mhimu sana maana nishamaliza malipo.
Laki mbili sio mchezo huwezi amini mkeka huu ulivyochanwachanwa. Root na Mtoto wa nzi sio bure mna namna aise
 
Kama napoli na madrid wakishinda nitakula mkeka wangu maana timu sita zengine wote wameshinda niliweka mechi 8 wamebaki wao tu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kesho mnipokee Nataka nianze kubet rasmi nipunguze hela ya kuhonga na tungi niweke kwenye kubet
Mi natangaza kustafu rasmi, maana hamna namna, ni hasara tupu yani,,, hamna faida niliyoipata ata kidogo....
 
Kama mm ulisita kwa AJAX kwa odd ya 1.23 nikahisi atadraw kama mwenzake PSV coz alikuwa na odd hiyohiyo akadraw.Lakini nikampa WIN AJAX,sasa yamenikuta yakunikuta.
 
win both halves nimempa madrid jana katoa 1~2 hapo naona nimekula lakini mtonyo hakuna
 
win both halves nimempa madrid jana katoa 1~2 hapo naona nimekula lakini mtonyo hakuna
KAMA UMEWEKA WIN BOTH HALVES UMEPIGWA KIROHO SAFI, MAANA KIPINDI CHA KWANZA KIMEISHA MADRID KASHINDA 1-0, ILA KIPINDI CHA PILI MADRID HAJASHINDA KATOA SARE 1-1.... KWA KUCHEZA WIN BOTH HALVES NI TOFAUTI NA HALFTIME/FULLTIME.....
 
KAMA UMEWEKA WIN BOTH HALVES UMEPIGWA KIROHO SAFI, MAANA KIPINDI CHA KWANZA KIMEISHA MADRID KASHINDA 1-0, ILA KIPINDI CHA PILI MADRID HAJASHINDA KATOA SARE 1-1.... KWA KUCHEZA WIN BOTH HALVES NI TOFAUTI NA HALFTIME/FULLTIME.....
dah poa mkuu kwa hiyo gori la 2 la dk 89 halihesabik
 
dah poa mkuu kwa hiyo gori la 2 la dk 89 halihesabik
SHIDA KUU YA WIN BOTH HALVES AMBAYO WATU WANACHANGANYA SANA NI KWAMBA .... MATOKEO YA KILA KIPINDI YANAJITEGEMA HAYAUNGANISHWI...UKIUNGANISHA NDIO UNASEMA MADRID KASHINDA 2-1, UKIYATENGA NUSU NUSU KAMA WIN BOTH HALVES (USHINDI VIPINDI VYOTE) INAKUWA NUSU YA KWANZA USHINDI NUSU YA PILI SARE ... MKEKA CHALI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…