Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Paris Sainte Germany wamemfumua Troyes 5-0,mwanzo mzuri.Sasa namsubiri Tottenham Hotspurs, I hope that they won't let me down in shame.
 
Jamani,leo kwenye option ya TO WIN BOTH HALVES
-PSG alipewa odds 72
-FREIBURG odds 33
Total odds hapo ni zaidi ya 2000
Lakini kila nikituma mkeka,naambiwa

"matatizo,tlanslation key,total odd"

Nimerudia zaidi ya mara sita lakini imegoma na hiyo option imekubali kwa wote.
 
Samahan mkuu hio option inamaanisha nin hasa
 
Hiyo option maana yake timu utakayoichagua ishinde vipindi vyote viwili.IPO MKEKA BET

cc.MASKINI
 
Jamani,leo kwenye option ya TO WIN BOTH HALVES
-PSG alipewa odds 72
-FREIBURG odds 33
Total odds hapo ni zaidi ya 2000
Lakini kila nikituma mkeka,naambiwa

"matatizo,tlanslation key,total odd"

Nimerudia zaidi ya mara sita lakini imegoma na hiyo option imekubali kwa wote.
psg alikuwa na ODD ya 1.28 ...to WIN BOTH HALVES MAISHA YAKO HAIWEZI KUFIKA HATA 6..... HIYO 72 ..UTAKUWA UMEONA KIVULI CHAKO UKASTUKA.....HAIPOOOO
 
Hapana mtoto wa nzi,nipo sahihi sana,mfano mwingine ni sparta prague 33,middlesbrough 29 odds.

Ningeitupia mapema hapa kabla ya mechi ungeweza kuthibitisha mapema.
 
psg alikuwa na ODD ya 1.28 ...to WIN BOTH HALVES MAISHA YAKO HAIWEZI KUFIKA HATA 6..... HIYO 72 ..UTAKUWA UMEONA KIVULI CHAKO UKASTUKA.....HAIPOOOO
Mimi japo sijajiunga na mkeka bet..nimetafakali kwa kina nikakosa jibu
 
Hapana mtoto wa nzi,nipo sahihi sana,mfano mwingine ni sparta prague 33,middlesbrough 29 odds.

Ningeitupia mapema hapa kabla ya mechi ungeweza kuthibitisha mapema.
Situpia picha ya huo mkeka wenye Sparta ashinde vipindi vyote.... Si umeutoa!!! Weka hapa.... Hamna kitu kama hiyo....
 
Fiorentina ashawahi kuchana mkeka wa laki 7 hadi leo huwa sina hamu naye..tena siku hiyo alikuwa na odds kidogo 1.36 nilimuweka kama kukuza hela kumbe ndio alikuja kunichania tena alikuwa yupo nyumbani
 
Back
Top Bottom