Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Me naomba niwaache kidogo naona biashara ngumu kupita maelezo ngoja nipumzike kidogo mpaka mambo yatakapo kuwa fresh kwa wanao weza kuwasilana nami namba hizi 0766403805 ngoja nipumzike japo mwezi tuone
Mkubwa leo umepigwa za uso sana aiseee
 
Mkubwa leo umepigwa za uso sana aiseee
Yaani kama tumewaza sawa.... Nikipigwa mfululizo wiki... Wiki ya pili.... Naombaga poooo...... Stop.... Napumzika kutafuta upepo.... Maana mtu unaliwa unajaa gesi.... Na ukibet umepanic mostly utaliwa.
 
Wakuu habari za asubuhi, Leo sitaki timu nyingi najitupa kihivi
Arsenal win
Man u win.
, maombi yenu tafadhali
 
Attachments

  • 1457844201202.jpg
    1457844201202.jpg
    41.4 KB · Views: 37
Kuna mkeka nilibet online jana mechi ya Ruch C v Lech Poznan,,nikampa Lech P ashinde na goli kuanzia 2+.Kweli akashinda 3-1 lakini cha ajabu wamenipiga red kwenye mkeka wangu kwa maana ya kwamba nimekosa.Napataje ufumbuzi wa hili wakuu
 
Duh pole,bora ungeweka normal win mzee.

Neda kwenye office zao
 
2+ maana yake timu uliyoipa ushindi ishinde kwa zaidi ya goli mbili. Sasa kwako wewe hiyo 3-1 ni sawa na 2: 0 kwa uelewa wangu ni kweli umefungwa
 
Kuna mkeka nilibet online jana mechi ya Ruch C v Lech Poznan,,nikampa Lech P ashinde na goli kuanzia 2+.Kweli akashinda 3-1 lakini cha ajabu wamenipiga red kwenye mkeka wangu kwa maana ya kwamba nimekosa.Napataje ufumbuzi wa hili wakuu
Hapo alitakiwa ashinde goli kama 3_0 au 4_1 au 5_2 umepigwa mkuu maana Yake 3_1 lech atakuwa kushinda 2
 
Ac milan
Roma
Fiorentina
Gil vecente
Olympiakos
FC basel
Leganes
Ajax
Utrecht
Sparta praha
Sevilla

WIN HIZO
Chagua 3 bomba utie mzigo.
 
Hapo alitakiwa ashinde goli kama 3_0 au 4_1 au 5_2 umepigwa mkuu maana Yake 3_1 lech atakuwa kushinda 2
Mkuu Kibo hii sio handcap...ni ile option ya double bet-2&A+.Yani maana ake mtu wa away ashinde gemu na wakati huohuo goli zake zianzie mbili na kuendelea.Nimekuwa nikiicheza sana ni jana ndo nimeshangaa kuona hivo.
 
Back
Top Bottom