Inawezekana piahBarcelona loose odds 29. Mimi naona getafe watashinda maana barca wana mechi kubwa ya uefa pia huku kwenye lig wanaongoza kwa tofauti kubwa ya points.
Twende hiviMm leo nataka kuweka wafungane, kama kuna wadau wa option hii twendeni sawa tujue tunawekaje
Gillingham wanacheza na timu nzuri kuweni makin hapo...AtleticoBarcelona Win
Atletico Madrid Win
Gillingham Win
Psv Win
Fc Porto Win
Hull City Win
afadhali uwawekee getafe double ya ku win au drawBarcelona loose odds 29. Mimi naona getafe watashinda maana barca wana mechi kubwa ya uefa pia huku kwenye lig wanaongoza kwa tofauti kubwa ya points.
Man city ametatua
Man city anapita na mikeka mingi..... Nisinge muacha....... Hicho kichapo
Man city naona anaenda kunichania huyu
Dah man city
hahaaaaaa, watu ambao tuna "gamblers instinct" hatuwezi kumuweka man city akiwa away, huyu mjinga nilimshtukia sijamuweka kwenye mikeka yangu yoteMan city wanaweza kuchana mikeka ya watu.
Ebu tupe izo gamblers instinct iyo moja nimeinyaka tayari,,,,,,, (think twice » away games)hahaaaaaa, watu ambao tuna "gamblers instinct" hatuwezi kumuweka man city akiwa away, huyu mjinga nilimshtukia sijamuweka kwenye mikeka yangu yote
Mi Sija cheza kabisa leo.. Napumzika mwezi....hahaaaaaa, watu ambao tuna "gamblers instinct" hatuwezi kumuweka man city akiwa away, huyu mjinga nilimshtukia sijamuweka kwenye mikeka yangu yote
ni kama 'kuchezwa na machale' fulani tu hivi mkuu, sio kanuni au sheria za kuambiwaEbu tupe izo gamblers instinct iyo moja nimeinyaka tayari,,,,,,, (think twice » away games)