Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huuu mkeka nili upload humu mchanaa.. km uliufuataa umekulaaa....!!!
 

Attachments

  • 1457807680138.jpg
    1457807680138.jpg
    32.3 KB · Views: 61
Derby ni noma yaani anashindwa zuia dakika saba anapigwa 3 tena hat trick
Hahahaaaaaaaaaaa. Yaani hapa kama ulifanya single bet ukatia mzigo wa maana unaweza kuanza kujaza meza na ukamuuliza muuzaji wakala wa huduma ya pesa yupo wapi. Wakati unajiandaa ndani ya dk Saba unaambiwa zote zimerudishwa
 
Me naomba niwaache kidogo naona biashara ngumu kupita maelezo ngoja nipumzike kidogo mpaka mambo yatakapo kuwa fresh kwa wanao weza kuwasilana nami namba hizi 0766403805 ngoja nipumzike japo mwezi tuone
 
Back
Top Bottom