Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sparta rotterdam anatisha kama njaa...kwangu mim yeye ni best match of the day...
Kanichania mkeka pia, nliweka no kwenye option ya both teams to score.

Kati ya time 10 kazingua yeye tu kaninyima 1.2M kwa sh 1400..hehe
 
nilimpa sparta ila dk ya 85 akadraw 1:1...dk ya 90 akaongeza ikawa 2:1..akapigwa tena ikawa draw ya 2:2 kabla ya game kuisha akaongeza tena kwa mara nyingine nq kuibuka na ushind wa 3:2 hapa aliponifurahisha huyu jamaaa....
 
Leo Wazee kihv inakuaje?
Man City
Wolfsburg
Barcelona
Marseille
St. Entiente
Inter
Bayern Munich All the Teams to win.
Wazee kana abaki nani na aende.
 
Team za ufaransa mmmmh naona chenga tu maana monaco alicho fanya jana hadi nahisi kuumwa
 
Leo Wazee kihv inakuaje?
Man City
Wolfsburg
Barcelona
Marseille
St. Entiente
Inter
Bayern Munich All the Teams to win.
Wazee kana abaki nani na aende.
Mkuu hapo muondoe Marseille na St Etienne unaweza muongeza cska moscow na Burnley.
 
1457765847412.jpg
 
Wakuu leo natoka namna hii

NORWICH 1.58 LOSE 
SPARTAK MOSCOW 1.56 WIN 
1899 HOFFENHEIM 2.07 LOSE 
BOR. MONCHENGLADBACH 1.56 WIN 
SV DARMSTADT 98 2.40 LOSE 
STOKE CITY 2.47 WIN 
BOURNEMOUTH 1.80 WIN
 
West Ham United X1
Everton X2
BARCELONA WIN
Atletico Madrid Win
Man City Win
Sitaki tamaa mechi nyingi nimeweka elfu 20 tu
 
Wolfsburg Win
Borussia Monchengladbach win
Stoke city X1
Bournemouth X1

Hapa weka roho kiba-isa lazima ule


 
habari yenu

kuna mtu anajua process ya kuwithdraw pesa kutoka supabet kuja m pesa? maana nimecheki wana opsheni nzuri nataka nijiunge nao ila naona tu njia ya kudeposit kwa m pesa ila kuwithdraw ndio sijaelewa/sijaona namna ya kuwithdraw...
 
Leo kuna hela kama ukitulia na kingine ukiweka mzigo wakutosha achana na mambo yakuweka timu nyingiiii na ngumu nawatakia siku njema wapendwa
 
Mm leo nataka kuweka wafungane, kama kuna wadau wa option hii twendeni sawa tujue tunawekaje
 
Back
Top Bottom