Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi ww jamaa wa vinamba vya whatsapp umekosa nn hapa jukwani?,mbona mnakuwa kama mwanamke malaya anayetunza na mmewa kwa kila akitakacho lakini haachi umalaya? ,au nyie mwafananaje labda coz nawamithilisha na mtu mwenye masikio makubwa halafu asisikie kinachoongelewa.

Kuweni na adabu mnapoambiwa na ninadhani sasa MAXENXE MELLO umefika wakati wa kuwapa amri moderators wako kutoa ban sa faster kwa wenye vinamba hivyo maana wanachafua sana hali ya hewa hapa jamvini.
 
Mwamlishe wewe si ndio boss wake
 
Dau unaanzia mia... options zipo nying we angalia mkuu.. niliweka 5,000 jana nimekula laki na kitu.. n nzur mkuu.. sema league ya USA inaonekana haitabirik..
Mkuu mikeka ya hockey uwe waileta basii.... ligi ya marekani yaani NHL ni ngumu kidogo ila ndio ina odds kubwa.
 
Eindhoven
Malaga
Juve
Liefering
A. Lustenau
Arka
Bangor GG
Sparta
Nac
St. Pauli 1x
Maritimo
Csms lasi
Sittard GG
Jong ajax GG
Achilles GG
lens GG
Wote hao win na options kama unavyoona. Chambua zitakazokufaa.
 
Kwa ngumi hii kama namuona muhindi akikohoa damu.

-Fc st.Pauli
-Sparta rotterdam
-Nac breda
-Metz
-Slavia praha
-Malaga
-Monaco
-Piast gliwice
-Juventus
-Ranges

ALL TO WIN
Toa Metz weka Eindhoven au Telstar mkuu.
 
wakuu mnaotumia mkeka bet,naombeni msaada mbona najaribu ku select mechi lakini kwenye betslip inakuwa haionekani ila kwenye list inaonyesha nimisha ichagua?
pia inaweza kuonekana kwenye betslip ila nikitaka ku place bet haiiji
 
Hio
 
Attachments

  • 1457712354956.jpg
    1457712354956.jpg
    49.4 KB · Views: 41
wakuu mnaotumia mkeka bet,naombeni msaada mbona najaribu ku select mechi lakini kwenye betslip inakuwa haionekani ila kwenye list inaonyesha nimisha ichagua?
pia inaweza kuonekana kwenye betslip ila nikitaka ku place bet haiiji
Ukishachagua, subiria kidogo, then angalia chini kabisa, utaona idadi ya Tim ulizochagua. Then click hapo. Hii ni iwapo watumia sim but kwa computer, inajionyesha kabisa
 
Jamani kwa leo mm inatosha nilichagua mechi mbili za saa tisa nikatia 50 nimepata 81 nadhani hii 30 kwa leo initoshe tu. Nawaombea wale mnaosubiria matokeo mikeka yenu isichanike
 
wakuu mnaotumia mkeka bet,naombeni msaada mbona najaribu ku select mechi lakini kwenye betslip inakuwa haionekani ila kwenye list inaonyesha nimisha ichagua?
pia inaweza kuonekana kwenye betslip ila nikitaka ku place bet haiiji
kama unatumia operamin jaribu kutumia browser nyingine hata ile iliyokuja na phone uone matokeo...
 
sparta rotterdam anatisha kama njaa...kwangu mim yeye ni best match of the day...
 
Back
Top Bottom