Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani eeeh nataka nibakiwe na timu saba au nane tuuu!nisaidieni kuchambua hapa chini:
St Paulli
SPVB Greuthen
Trabzonspor
Nac Breda
Sparta Rotterdam
Metz
Malaga
Monaco
Juventus
Rangers
Crotone
Nancy
Le Havre
Nimtoe nani na nimbakishe nani hapo?
Le havre, monaco, nancy, st pauli,nac breda,juve naona zipo sawa
 
Hahahaaaaaaaa! Jana tulipeana ushauri mzuri sana mpaka na mimi nikamtafuna. Nasikitika nilitaka niweke laki 2 nile Milioni na laki tatu. Nikafuta nikaweka elfu mbili nimeishia kula elfu mbili nikala elfu kumi na tatu.

Nashangaa jana Root hajabet
 
Jana nilisoma nikaogopa sana maana mechi zilikuwa ngumu sana jana
 
Jana nmejaribu hockey. .. huu mchezo unalipa sanaaa.. odds n nying sana.. afu team ikiwa home lazm ishinde.. afu team iliyopewa odds lazm ishindee.. huku kuna nafuu kuliko soccer
 
Jana nmejaribu hockey. .. huu mchezo unalipa sanaaa.. odds n nying sana.. afu team ikiwa home lazm ishinde.. afu team iliyopewa odds lazm ishindee.. huku kuna nafuu kuliko soccer

Hii hockey inachezwa vipi chief, na unaweza kuipata wapi yani ni meridian ama? tafadhali...
 
Meridian chief ipo.. mkuuu huu mchezo n lazm ule mkuu.. me mgeni nmekula laki
 
Dau unaanzia mia... options zipo nying we angalia mkuu.. niliweka 5,000 jana nimekula laki na kitu.. n nzur mkuu.. sema league ya USA inaonekana haitabirik..
 
Back
Top Bottom