Atletico anakatika Leo itoe.Laki tatu naweka
Dortmund win
Shaktar win
Atletico win
Sparta P I 1*1
Huwa ni ngumu sana kuelewa ulichoandika.Uajnpata gwela nliweka elfu tatu nile mia thelathn taingia wki ilio isha mpaka leo
kwenye sehemu ya kuchangia thread bonyeza pale penye plus kisha utaandika unachotaka heading na main body kisha juu kulia kuna vidot unabonyeza pale utapata option ya kuapload sio lazima uandike waweza upload directNataka ni upload mkeka wangu wa laki tatu humu nafanyeje wadau..
Sidhani kama Basel wataweza kuizuia Seville, but ni option pekee kama unaifavor Basel. Hata Mimi nimewapa draw kiroho ngumu tu.Fenerbahc win
Basel draw
Shakhatar win
hapo aje..
Asante mkuuukwenye sehemu ya kuchangia thread bonyeza pale penye plus kisha utaandika unachotaka heading na main body kisha juu kulia kuna vidot unabonyeza pale utapata option ya kuapload sio lazima uandike waweza upload direct
Hauli...nmetoka kihivyo...tukutane kesho
Ukila na nm nimekulaMkeka wa leo
1.fenerbahce win
2. shaktor win
3. athletic bilbao win
Odd 4.1
Atanielewa baada ya Mechi. Fene naona anavurugahahaha.. hali sio.. muelekeze sasa ili aweze kula wa kusoma..
na mimi nile pia jamani
Mkuu kubet magoli ubafanyaje? Mm natumia mkekabetUshauri wangu betin magoli achaneni na izo win ,droo azielewekagi sema kubetia magoli uwe na ela ndefu kidogo ukikosa sana anzia elfu 10