Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kamatia fursa twenzetu
 
Attachments

  • 13.png
    13.png
    3.9 KB · Views: 44
Jana JAMII FORUMS ilikuwa inazingua mpaka nikashindwa kujadili mikeka,hata hivyo nikaunda mkeka wa timu tano kumbe nikawa nimelamba garasa moja linaitwa SANTA CLARA na kuninyima 69,000 kwa 3000

Leo mechi za uhakika zaidi ni.

B.DORTMUND
VILLARREAL
SHAKHTAR

Wanaofuata
ATHLETIC
FENERBAHCE
 
nimevurugwa kama yai la chips......nimewapa wooote 8 goli 2-6, odds 13......
 
Wazeee mbn mm amenfululza mno afu kila mkeka nakuta nkosa la tim moja tu ushaur wen please
 
Wazeee mbn mm amenfululza mno afu kila mkeka nakuta nkosa la tim moja tu ushaur wen please
..una muda gani tangu uanze kubet!!! kuwa mvumilivu ..... watu wana miaka wanapigwa tu na hawakati tamaa ...... punguza timu ongeza dau....
 
Hujawahi kula? Alafu wakati wa kubet usiweke mapenzi kwa timu yako

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nmesha mla tu sna anajarbu kujikopa tu sema taingia wiki ilio isha ndio nlmla elfu tatu kwa mia thelathn mpak leo xjamla ananpiga kwa tmu moja had hua nashindwa kuelewa
 
Uajnpata gwela nliweka elfu tatu nile mia thelathn taingia wki ilio isha mpaka leo
Uandishi unaotumia ni ngumu sana mtu kukuelewa haraka. weka dau kubwa, punguza timu at list cheza mechi tatu muhimu ila usiweke karoo ya shule.
 
Leo nataka nitoke hivi
Dortmund
Shakhtar D
Liverpool
Athetico club
Sparta
Villarreal
All win

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom