Mkuu ingia hapa maelezo yote tena kwa kiswahiliMeridianbet.co. tz.mkuu hawajamaa kila nifungua online siwapati mkuu.yaani haifunguki kuna njia NYINGINE ya kuwapata online
Chelsea anakufa leoZenitiiiiiiiiiiiiiiiigooooooo
Du mkeka nimeshachana draw hio.Benficaàaaaaaaaa
Yani kama zari sijabet leo kila nikibet hela inarudishwa, wote wamezingu kasoro chelsea tu na yeye tia maji tia majiLeo nimeamua kutoka hivi niskilizie![]()
yaaaaniii huuu mkeka umetobokatoboka kama kokoro.....😀😀jokinZenit
Chelsea
Marseilles all to win
odds 14.0
hata mimi sijacheza aseee , madogo wa ureno hawasomeki ...uefa nyeusi...... nikapumzika tu, ..... yule aliekuwa anaulizia ice hockey shida ni nini unachohitaji kujuaLeo mi napunzika kabisa maana kesho nayo siku
Leo ngoja niangalie mpira kwa raha