TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Chukua St Zenith na Athletico. Utanikumbuka mkuu.
tLeo selction of the day kwangu..ni chelsea..nasubilia team 2
tLeo selction of the day kwangu..ni chelsea..nasubilia team 2
Sawa KakaMakanya psg, na benifica kushinda leo ndugu yangu ni ngum sana jaribu option nyingine
Jana zilikuwa nyeupe lkn tumeliwaMechi za leo Nyeusiiiiii.........
HAPA.PA JANAbrighton au cardiff anaua
dumbarton over 2.5
bristol rovers 2.5
porto b2+
haladas 12
diosgyori 12
chelsea12
Timu uliyoipa ushindi ikitoka sare hiyo mechi haiesabiwi inatolewa.... Kama ni single bet pesa yako inarudishwa ila akifungwa umeliwa(Draw No Bet Full Time) - Hii option inamaanisha nini kwenye mkeka bet?
Ungeliwa vizuri sana coz uliiamini sana middlesbrough na cardiff ambao wamechezea kichapo. Afu Dover Athletic niliokuongezea katusua though kuna mdau alipinga kwa nguvu zote usimuweke.Jana simu ikazima chaji hata sijabet sijui ningekula au ningeliwa ila potelea mbali sijui leo nitoke vp
Kichuna ice hockey ipo vpKasema kecho, maana yake anaota.
Kwa kiswahili tunaweza kusema anaota kapiga mil 13
Nilijaribug kucheza ice hockey option rahic ilikuwa goals 0-7 au ukicheza double chancheKwa anayejua mchezo wa ice hockey atufundisheee... je kule n bora kuliko soccer. ..??
Mkuuu odds zake n ndogo sanaa 1.04 au 1.14 afu sometime goal zinavuka 7Nilijaribug kucheza ice hockey option rahic ilikuwa goals 0-7 au ukicheza double chanche
Hiyo siijui mkuuKichuna ice hockey ipo vp