Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ok asante kwa ushauri, ianiuma kwa sababu nauna uwezo wa forecast matokeo ninao , ingawa kinachogopesha zaidi ni mambo ya dini

Mambo ya dini yamefanyaje.? Unaogopa nini.? Ukiamua kula nguruwe, Chagua aliyenona.
 
Kesho
Arsenal
Wolfs
Real
All win
In case ukifanyia kazi ushauri wa roots
 

Attachments

  • 1457376331969.jpg
    1457376331969.jpg
    51.1 KB · Views: 41
Bet win.... Lakini sikuucheza.... Kisa!! Mtandao maamae.... Ile nimetupia tu humu network ikapotea voda tigo wote.... Imekuja kurudi saa5 usiku dah..... Ongera uliefata nyuki...

Hongera kwa kuweka zilizo tiki
Mi pia hata sikugusa popote niliamua kusubiria leo tu maana nina historia mbaya na Jumatatu
 
Leo natoka hivi

Real Madrid win
Vfl Wolfsbug win
Grimsby win
Dover win

Ushauri wenu plz kabla sijalipia na anayeweza kufuata karibu sana.
Apo wakumhofia ni Wolfsburg maana gent ntim kubwa xio yakawaida ila km unampa labda anaweza akapata matokeo kwakua iz xku gent amekua anapoteza michezo yake ....... In short yan mkek wako uko poa
 
Back
Top Bottom