Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hawa jamaa wa forebet wakimpa mtu kuanzia 50, 80% ni win kweli
Kuna forebet, windrawwin na whoscored wakipishana tu utabiri wao game ngumu naachana nayo ila wote wakiipa timu ushindi inatoka kweli
Hao windrawwin utabiri wao ni small, medium na large ukifata utabiri wa large lazima ule game kama ngumu wanatabiri small
 
Naomba kujuzwa jaman kwenye both tear to score. kwa mfano

Hull city vs Asernal
3.04 * 1.75
Unaweka odd gan hapo? je nikimpa arsenal then akafungwa 2-1 hapo, tafadhari nisaidieni.
nakala kwa tracy, mtoto wa inzi, rockcity, ablkareem na wengine wenye ujuz plz
Kama n both to score to inatakiwa wafungane inamaana wakitoka 2-1 umekulaaa
 
Naomba kujuzwa jaman kwenye both tear to score. kwa mfano

Hull city vs Asernal
3.04 * 1.75
Unaweka odd gan hapo? je nikimpa arsenal then akafungwa 2-1 hapo, tafadhari nisaidieni.
nakala kwa tracy, mtoto wa inzi, rockcity, kichuna, ablkareem na wengine wenye ujuz plz
unataka kuuliza nini sijakusoma , hiyo blue ulitaka kusema nini...
 
Kuna forebet, windrawwin na whoscored wakipishana tu utabiri wao game ngumu naachana nayo ila wote wakiipa timu ushindi inatoka kweli
Hao windrawwin utabiri wao ni small, medium na large ukifata utabiri wa large lazima ule game kama ngumu wanatabiri small
Tunaomba utuambie tim ambazo wamezpa sawa
 
Yeah,nilishasema kaeni mbali na odd ya 1.41 kwa kuipa WIN,labda uipe draw,record ndivyo ilivyo.

Leo hivi kwa wale wa m bet

R.Madrid
Middlesbrough
Asernal
Cardiff

Bado naendelea tafakuri juu ya Wolfsburg na Bristol rovers.
Arsenal abakufa leo
 
Makorokocho FC.

Capture.PNG

Capture1.PNG
 
Kuna forebet, windrawwin na whoscored wakipishana tu utabiri wao game ngumu naachana nayo ila wote wakiipa timu ushindi inatoka kweli
Hao windrawwin utabiri wao ni small, medium na large ukifata utabiri wa large lazima ule game kama ngumu wanatabiri small
windrawwin waongo waongo sana na yale ma large medium small stake zao, kama wenzao predictz.com waongo waongo.... jaribu kuwapitia www.scibet.com ama www.bettingclosed.com ama www.olbg.com... napitiaga hawa na www.soccervista.com www.soccerfame.com na www.soccerpunter.com... yaani mtu akipewa na hawa wote namchukua
 
windrawwin waongo waongo sana na yale ma large medium small stake zao, kama wenzao predictz.com waongo waongo.... jaribu kuwapitia scibet.com ama bettingclosed.com ama olbg.com... napitiaga hawa na soccervista.com soccerfame.com na soccerpunter.com... yaani mtu akipewa na hawa wote namchukua
Hao predictz wapumbavu sn washanichania sn mikeka alafu hawana lolote wanaiga kwa windrawwin kila kitu sawa, ndomana naangalia na wengine uwa siwaamini sn lazima nipitie whoscored wanachambua game vzr hadi unaelewa kuanzia rekodi zao nani hachezi nani anacheza alafu ndio wanatabiri
 
unataka kuuliza nini sijakusoma , hiyo blue ulitaka kusema nini...

Ok mkuu swali ni hivi,
mfano Odds za Qpr na Derby ni 1.80 1.85 Je nampaje mmoja wakati nimeambiwa kila mmojawapo apate gori? na Madrid1.60 na Roma2.10 ni je utampa nani angali utabiri wako ni wa kila team kufunga? je wakifungana halaf uliyempa kazidiwa inakuaje? kwa aliyenielewa naomba anisaidie kuliweka sawa hili swali ama kunijibu msaada mtoto wa inzi
 
Jmn nataka kutia 300000 kwa hawa hapa Wolfsburg,Madrid & arsenal ...maoni yenu wadau plz
Toa arsenal kwahuo mzigo unaotaka kuweka timu mbili zinatosha, arsenal wenyewe washasahau mara ya mwisho kushinda lini alafu rekodi za arsenal ugenini zinatilia mashaka usijipe presha ya bure
 
Back
Top Bottom