Bristol rovers na Wimbledon.... Ni mechi tata kiasi... Wamecheza jumla ya mechi 7, Bristol kashinda game 4 Wimbledon kashinda 1 draw mbili.... Tangu 2013 mechi zao zinamaliza sare.... Tukija kwenye takwimu zao... Bristol akiwa home kucheza game 16.. Kashinda 8 kadroo 2 kapoteza 6, kafunga goli 24 kufungwa goli 17.... Wimbledon away kucheza mechi 16 kashinda 7 kadroo 7 kapoteza 2, kafunga goli 26 kufungwa goli 17..... Ukicheki hizi takwimu kila timu inawastani wa kupata goli 1.5 kwa mechi.... Option ya kwanza best ni both team to score (odds nzuri), second best option ni 2+ kila timu inawastani wa kufungwa goli kila mechi na kufunga goli kila mechi.... , tatu mpe timu yoyoyote ishinde, kwa nini!! Bristol akiwa home wastani wake wa sare ni mdogo (sare 2 kati ya mechi 16) ni aidha anashinda au anafungwa.... Uchambuzi wangu umeishia hapo ila kumpa ushindi timu moja ni risky sanaYeah,nilishasema kaeni mbali na odd ya 1.41 kwa kuipa WIN,labda uipe draw,record ndivyo ilivyo.
Leo hivi kwa wale wa m bet
R.Madrid
Middlesbrough
Asernal
Cardiff
Bado naendelea tafakuri juu ya Wolfsburg na Bristol rovers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji39]Kecho napiga millioni 13
Mbili kasoro.Chambua hapa.
Espanyol vs Rayo Valecanno 2+
Clermont vs Metz 1x
Rio Ave vs Estoril 1x
H. Beer Sheva vs Sakhnin 2+
FC Nordsjaelland vs FC Midtjylland 12
Cesena vs Salernitana 1x
Ittihad Al Shorta vs Al Masry 2x
ENPPI vs Smouha SC 12
Freiburg vs RB Leipzig 2+
St. Gallen vs Grasshoppers 2+
Mtoto wa nzi.Factor inayotaka kunishawishi kumpa WIN bristol ni record nzuri ya odd 2.03 kwamba asilimia 75 ni ya ushindi na 24 ni draw.
mi kusoma ushindi kwa kuangalia odds ....hilo sina ujuzi nalo.... ila kuna gambling probability formula natumiaga, niliikuta www.olbg.com mfano kama hiyo2.03, unaiweka chini ya moja mara 100 utakayopata ndio asilimia ya ushindi , yaani 1/2.03=0.49261*100 = 49.26 hivyo kwa hiyo mechi Bristol Rovers ana asilimia 49.26% ya ushindi....Mtoto wa nzi.Factor inayotaka kunishawishi kumpa WIN bristol ni record nzuri ya odd 2.03 kwamba asilimia 75 ni ya ushindi na 24 ni draw.
Na Wolfsburg vs gent unawazungumziajeBristol rovers na Wimbledon.... Ni mechi tata kiasi... Wamecheza jumla ya mechi 7, Bristol kashinda game 4 Wimbledon kashinda 1 draw mbili.... Tangu 2013 mechi zao zinamaliza sare.... Tukija kwenye takwimu zao... Bristol akiwa home kucheza game 16.. Kashinda 8 kadroo 2 kapoteza 6, kafunga goli 24 kufungwa goli 17.... Wimbledon away kucheza mechi 16 kashinda 7 kadroo 7 kapoteza 2, kafunga goli 26 kufungwa goli 17..... Ukicheki hizi takwimu kila timu inawastani wa kupata goli 1.5 kwa mechi.... Option ya kwanza best ni both team to score (odds nzuri), second best option ni 2+ kila timu inawastani wa kufungwa goli kila mechi na kufunga goli kila mechi.... , tatu mpe timu yoyoyote ishinde, kwa nini!! Bristol akiwa home wastani wake wa sare ni mdogo (sare 2 kati ya mechi 16) ni aidha anashinda au anafungwa.... Uchambuzi wangu umeishia hapo ila kumpa ushindi timu moja ni risky sana
Wolfsburg anashinda bila ubishiNa Wolfsburg vs gent unawazungumziaje
hii kwanza ugumu unakuja ni international game, zinapigania taifa .... zimekutana mara moja tu , ambayo wollfsburg alishinda 3-2, na mechi ya juzi Gent na OL houven ALIPUMZISHA wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza ile sare ya 1-1 na timu ya pili kutoka mkiani anfikiri alikua analenga hii mechi, mimi nitaitazama tu.... ni ngumu ina hesabu nyingi ... ila both team to score itatoaNa Wolfsburg vs gent unawazungumziaje
Bla details anashnda tu ili mrad ni Wolfsburg bax anashndaWolfsburg anashinda bila ubishi
Hii game ngumu achana nayo kama vp lolote linaweza kutokea, mm nina watabiri wangu wakipishana uwa napata wasiwasi lakini wote wakiipa timu ushindi uwa nawafata na zinatoka sanahiyo ni ngumu kumeza kichuna,japo lolote laweza kutokea
Details hizo hapo sema lengineBla details anashnda tu ili mrad ni Wolfsburg bax anashnda
hawa jamaa wa forebet wakimpa mtu kuanzia 50, 80% ni win kweliHii game ngumu achana nayo kama vp lolote linaweza kutokea, mm nina watabiri wangu wakipishana uwa napata wasiwasi lakini wote wakiipa timu ushindi uwa nawafata na zinatoka sana![]()
asante , ndio maana nkasema both team to score inuwezekano mkubwa wa kutoka .... hata takwimu hizi zinasema hivyo...japo wamepredict 2-0Details hizo hapo sema lengine![]()
![]()