tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,532
- 1,484
kuna tofauti kati ya gani ya handicap na normal ?bilbao,evaton na spuz hand cap imenikubali sana leo.
kuna tofauti kati ya gani ya handicap na normal ?bilbao,evaton na spuz hand cap imenikubali sana leo.
hahaaaaaaa, ww utajinyonga bureNina kahela kangu nilikakopa Saccos, ngoja nijaribu kukazalishia kwenye mikeka kabla hakajaingia rasmi kwenye biashara.
Wadau nianze na timu zipi za uhakika?
Usijaribu bet kwa ela ya ziada kama Ile iliyokwenye bajeti ya kuonga au ya bia we endelea Na biashara yakoNimeingia Meridian (football) naona kuna kitu inaitwa Meridian Premier League kaweka baadh ya teams na kuzipa odd kubwa ila kuna option chache
Fc Midtjylland kwa FC Nordsjaelland huwa ni vita ngumu sana,tafuta option nyingine mbali na kumpa yeyote kati yao ushindi.Ural Win
Fc Midtjylland win
Clermont Foot Win
grasshopper ( panzi) watashindahahaaaaaaa, ww utajinyonga bure
espanyol vs rayo , hii ni draw au rayo inashinda , manucho atapiga bao , ila weka rayo atashindadaah ww kweli unajua mpira
Cesena itashindaHapoel beer sheva win hiyo ana 70 %ya ushindi
sijui jinsi ya kubet , nataka nianze kubet, kiukweli soccer naijua vizuri , watching live since euro 1992 , so nisaidie maelezo
Cesena itashinda
Normal ushindi wa kawaida, handcap timu ishinde lakini tofauti ya goli moja mfano 1-0, 2-1, 3-2kuna tofauti kati ya gani ya handicap na normal ?
sijui jinsi ya kubet , nataka nianze kubet, kiukweli soccer naijua vizuri , watching live since euro 1992 , so nisaidie maelezo
Ok ntaiweka kesho iyo game za leo chengaKipindi cha kwanza wanyumbani aongoze kipindi cha pili waugenini arudishe mechi iishe sare 1/x odds 15
Kipindi cha kwanza waugenini aongoze kipindi cha pili wanyumbani arudishe mechi iishe sare 2/x odds 15
Kipindi cha kwanza wanyumbani aongoze kipindi cha pili waugenini arudishe na ashinde 1/2 odds zinafika hadi 30 inategemea na timu
Hizo ndio zina hela ndefu
handcap ni ushindi uwe wa tofauti goli 2 na kuendelea... Mfano 2-0, 3-1, 4-2, 4-0Normal ushindi wa kawaida, handcap timu ishinde lakini tofauti ya goli moja mfano 1-0, 2-1, 3-2
Cap zipo nyingi... Mfano unayoongelea ni cap ya - 1,mfano Hii inahitaji tofauti ya goli mbili kama unayosema, Kuna cap ya pili - 2, Hii timu inatakiwa kashinda kwa tofauti ya goli 3 Yaani 3-0, 4-1,5-2 n. K, Kuna cap tatu - 3 Hii ashinde kwa tofauti ya goli 4 Yaani 5-1,4-0,...... So ukizikuta hizo cap(European cap) ndio kama hivyo yanihandcap ni ushindi uwe wa tofauti goli 2 na kuendelea... Mfano 2-0, 3-1, 4-2, 4-0
ok asante kwa ushauri, ianiuma kwa sababu nauna uwezo wa forecast matokeo ninao , ingawa kinachogopesha zaidi ni mambo ya dinisikushauri hata ujifunze mana kuacha ni jipu.
ok , kwa hiyo probability ya kuwin normal ni zaidi ya handicap ? vipi treatment ya zawadi kwenye hizo , ni tofauti ?Normal ushindi wa kawaida, handcap timu ishinde lakini tofauti ya goli moja mfano 1-0, 2-1, 3-2