Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inabid ukajifunze courz ya options zilizopo kwenye shet ili unapokuwa una bet ujue na maana zake....mkuu hapo umejifariji pole xana Anglia ucje ukachekwa kwa uongo
Tumpe pole kama atakuwa ameenda samaki samaki na demu wake kwa hesabu kuwa kesho a/c yake itacheka.Kanjibhai kumla lazima upitie majaribu mengi
 
Furaha yake imekatika kama ya mama Carina wengwe aliyekuwa mkurugenzi wa NSSF kwa masaa 4
 
Mnaojua ngumu kumeza mtanisaidia
Game ya liver walianza kushinda crystal palace..lakini ushindi huo ulipatikana kipindi cha pili

Ambapo huwa inatakiwa ushindi uanzie kipindi cha kwanza halafu mgeni ndio achomoe..hii inamaana huwa wanaangalia vipindi vyote viwili...matokeo ya leo kwa ngumu kumeza upande wa liver na crystal palace....x-2

Ila wanaojua zaidi leteni data
Me nmeweka ngumu kumeza nkampa juventus na Barcelona juve kashnda 2 frst half 1 second half 1 Barcelona 1st half 2nd half 2 vp hapo nakula mzgo au coz n mara ya kwanza ngumu kumeza
 
Me nmeweka ngumu kumeza nkampa juventus na Barcelona juve kashnda 2 frst half 1 second half 1 Barcelona 1st half 2nd half 2 vp hapo nakula mzgo au coz n mara ya kwanza ngumu kumeza
Uliwapa option gani? Tuanzie hapo

Maana kuna option nyingi za ushindi
 
Inabid ukajifunze courz ya options zilizopo kwenye shet ili unapokuwa una bet ujue na maana zake....mkuu hapo umejifariji pole xana Anglia ucje ukachekwa kwa uongo
96376b0f6bb9d065579d48949e906d36.jpg
Vp hapo juu
 
Nina furaha teeeeleeee Leo muhindi Wa premier nimempiga kipigo kitakatifu....nimecheza ngumu kumeza..nimecheza timu tatu na zmetiki ml.24,000,000 kwa 5000

1.niliwapa wageni wawili waanze kufunga wachomoe wenyeji matokeo yabaki suluhu..yaani (a)Torino vs lazio,...(b) Marseille vs Toulouse
.... Hii ya liver nimempa apigwe alafu achomoe na kushinda...full shangweeerrr krsho asbhiiiii kibopaaaaa
Kichuna hawa ndio wanakuhusu sasa.... Unaona baada ya kula ndio analeta mbwembwe.....
 
Dah... Niliandaa mkeka ule wa kuisha kama sabuni sikulipia.... Jana nimeona mikeka humu nkaenda kuweka pesa nicheze.... Narudi tu kitaaaa.... Msela amevuta(amefariki)........ Tupo pamoja...
 
Mifano ya matokeo ya mechi za Jana katika option ya halftime/ fulltime....
1; 1-1 inter millan Vs perlemo.

2; 1-X Torino Vs Lazio

3; 1-2 Everton Vs West Ham

4; X-1 West Bromwich Vs man U

5; X-X Dortmund Vs buyern

6; X-2 Cristal palace Vs Liverpool

7; 2-1 Panthinakikoa Vs PAOKI

8; 2-X galatasarai Vs instabull

9; 2-2 eibar Vs Barcelona.....

Fatilia hizo game utaona matokeo yake yalikuwa vp kipindi cha kwanza na cha Pili unajua maana yake
 
Kaliwa yule hujaujua michezo huu wa seti kichaa au ngumu kumeza.... Yatamkuta kama yaliyonikuta na timu moja recreativo huelva sitomsahau kamwe.... Kama alienda kubutua kwa mintaraji atapata 24M... Atasimulia
 
Me jana Mainz 05 kanitenda aisee ye mwenyewe cna ham nae
 
Jamani kuna option ya under/over ya first half or seconad half kwenye MKEKA BET.

Naiona kama ni nzuri sana,mfano kuwepo na goli moja tuu kwenye kipindi kimoja tayari ni over.

Sasa je ni kipindi kipi ni mara nyingi hupata magoli?
 
Back
Top Bottom