Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Si nilisema mm ukaanza kunilaumu, umeelewa sasa?Kichuna hawa ndio wanakuhusu sasa.... Unaona baada ya kula ndio analeta mbwembwe.....
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Si nilisema mm ukaanza kunilaumu, umeelewa sasa?Kichuna hawa ndio wanakuhusu sasa.... Unaona baada ya kula ndio analeta mbwembwe.....
Hahahahahahaha pombe zitakuwa zishamuisha, akilewa tu anasumbuahahaaa, mshkaji wako kichuna,.....
hope sasa hv mpo peace
Naomba unielekeze vzr hii ngumu kumeza inachezwaje?Mifano ya matokeo ya mechi za Jana katika option ya halftime/ fulltime....
1; 1-1 inter millan Vs perlemo.
2; 1-X Torino Vs Lazio
3; 1-2 Everton Vs West Ham
4; X-1 West Bromwich Vs man U
5; X-X Dortmund Vs buyern
6; X-2 Cristal palace Vs Liverpool
7; 2-1 Panthinakikoa Vs PAOKI
8; 2-X galatasarai Vs instabull
9; 2-2 eibar Vs Barcelona.....
Fatilia hizo game utaona matokeo yake yalikuwa vp kipindi cha kwanza na cha Pili unajua maana yake
Unabashiri kipindi cha kwanza na cha piliNaomba unielekeze vzr hii ngumu kumeza inachezwaje?
Poa poa nmekupata shukrani snUnabashiri kipindi cha kwanza na cha pili
Mfano kipindi cha kwanza kiwe sare na cha pili kiwe sare x/x
Kipindi cha kwanza sare cha pili wa nyumbani ashinde x/1
kipindi cha kwanza sare cha pili wa ugenini ashinde x/2
kipindi cha kwanza wanyumbani aongoze chapili mechi iishe sare 1/x
Ni hivyo tu options zipo nyingi siwezi kuandika zote ila umepata picha inavyokuwa
Ila kuna options nne tu zenye hela unaweza kuweka timu mbili tu ukapata mshiko mrefu, options zengine za kawaida tuPoa poa nmekupata shukrani sn
Mkuu ndio zipi izo tenaIla kuna options nne tu zenye hela unaweza kuweka timu mbili tu ukapata mshiko mrefu, options zengine za kawaida tu
Ni zp izo?Ila kuna options nne tu zenye hela unaweza kuweka timu mbili tu ukapata mshiko mrefu, options zengine za kawaida tu
Kipindi cha kwanza wanyumbani aongoze kipindi cha pili waugenini arudishe mechi iishe sare 1/x odds 15Ni zp izo?
Leo hakuna game za kueleweka, mm natunza nguvu kwa ajili ya kesho uefa na championshipWale wa both teams to score leo upepo vp
Ila leo chenga kwel sema ngja ntafute nne tuuhLeo hakuna game za kueleweka, mm natunza nguvu kwa ajili ya kesho uefa na championship
sijui jinsi ya kubet , nataka nianze kubet, kiukweli soccer naijua vizuri , watching live since euro 1992 , so nisaidie maelezoHalafu leo voda mbet mbona hawaoneshi mechi na points?
daah ww kweli unajua mpiraMonaco please nitunzie mkeka wangu. Lile,barca.live,chelsea,panairakos wote wamefanya yao!