Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah! Angalau nimelamba kidogo, acha nitafte team 1 nidouble mzaga wote
 
Jamani vipi hali ya mikeka huko! Mimi twangu tunahema baada ya juve,napoli kufanya yao. Bado suarezi na ronaldo wakamilishe
 
Naona liver wameimaliza game. Baloteli na ronaldo fanyeni yenu basi
 
Oya wazee wa kubet naomba mnijuze odds za meridian kama zina tofaut na za huyu muhind wa premium beting
 
Back
Top Bottom