Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu tuwe na misingi ya kuheshimiana, kama unataka umaarufu sio lazma uje na kashfa zipo njia nyingi unaweza tembea ukiwa mtupu mtaani kwenu na ukapata huo umaarufu na sio lazma kutumia jamii forum

Umeichukulia vibaya Mkuu. Kila mtu ana 'Kick' yake. Sio kitu kibaya ni mapenzi binafsi. Betting is a softer word for Gambling mkuu.
 
Kumbe watu mlianza mambo haya kitambo?...

huku uswahilini ndy hatari vijana ni mikeka mi3 kwenda mbele!..

Mm sina hamu tangu nisikie kwamba Liverpool tulikosa ubingwa 2008/2009 kocha alikuwa anabet sina hamu,tena kuna

game nyingine wehu wanaweka odds hadi 15x ni balaa lazima ushawishike biashara gani inalipa kiasi hicho..

Soccer vista ina statistics nzuri sana,natumia almost 5 yrs, au [url]www.soccerway.com [/URL]
 
leo man city,madrid,napoli,ac milan(alichana mkeka majuzi) sijajua game nyingine leo. Ulijoin meridian betting?

bado sijajoin vipi proces zake unakua unabet online au hadi uwafate pale kwenye kilinge chao cha kariakoo.
 
unaingia kwenye website yao,unajoin now,then utapewa acount no.(ina 8 digits),then kuna namba ya mfanyakaz ntakupa ili umtumie hela hata buku5 akuwekee then utalog in na kuanza kubet.

poa ngoja nifanye michakato kwnye jumamosi iwe tayar.
 
Back
Top Bottom